Paroles de Nafuta
Paroles de Nafuta Par CARLIE BRONZE
Umenifanya pawaza huwa na comment swali ama naulizaga jiku
Najiona mpumbavu ah najiona mjinga
Maana hata nikiview hata nikituma meseji kwako
Haupokei hata nikikupigiaaaa
Natena kinachofanya niumie status zako jamaa
Sijui hawa unaniandikiaga mie, naumiaga sana
Ila ndo vile mwenzako mi kusemasema siweziii
Naona poaaa bora nikuache salaama
Nafuta namba yako
Nafutaaa
Hautoniona tena, nikikutafutaaa
Nafuta namba yako
Nafutaaa
Hautoniona tena, nikikutafutaaa
Oolala lila lila lah
Oolala lila lila lah
Naumeniacha adaani mie
Umeniacha taabani mie
Aka sionii nilipokoseaaaa, uuuuhh
Ila ka ukipata huruma kidogo unipigieeee
Ila ka utauchuna ntaona fresh tu usiniwaziee
Maana sijawahi hata postika
Simbembelezwi hata dakika
Sio kwa voice tu kastika sijawahi tumiwaa
Video call unajificha
Oh mara ghafia imekatika
Ulinionea mi sikuongea
Natena kinachofanya niumie status zako jamaa
Sijui hawa unaniandikiaga mie, naumiaga sana
Ila ndo vile mwenzako mi kusemasema siweziii
Naona poaaa bora nikuache salaama
Nafuta namba yako
Nafutaaa
Hautoniona tena, nikikutafutaaa
Nafuta namba yako
Nafutaaa
Hautoniona tena, nikikutafutaaa
Sitokutafuta tenaaa (Oolala lila lila lah)
Usinitafute tenaaa (Oolala lila lila lah)
Ecouter
A Propos de "Nafuta"
Plus de Lyrics de CARLIE BRONZE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl