Paroles de Nikune
Paroles de Nikune Par RECHO KIZUNGUZUNGU
Naelewa ya mapenzi
Nitajiteteaje kwako
Na mimi vile muoga
Siwezi sema lolote kwako
We ndimi ya mlinzi
Mie ndie kibaraka wako
Japo umenimwaga vile nahitaji uwepo wako
Sikujua natumia povu la mswaki kufulia nguo
Mara bindo bindo bandua
Kuja kutamaki ushacharanga mioo
Sikujua natumia povu la mswaki kufulia nguo
Mara bindo bindo bandua
Kuja kutamaki ushacharanga mioo
Japo wakituona ila nisharidhika nawe
We ning'onge kwa nyuma
Vyovyote nitakuwa nawe
Japo wakituona ndo nisharidhika nawe
We ning'onge kwa nyuma
Vyovyote nitakuwa nawe
Basi nikune we, ninapowashwa nichue dawa
Usinikwangwangue nione na huruma ili twende sawa
Basi nikune we, ninapowashwa nichue dawa
Usinikwangwangue nione na huruma ili twende sawa
Ni fupi mwili sio akili najitambua we
Bindu bindu ugome moyo wangu ushaubandua we
Leo sio siri tena dhahiri sijaongopa we
Hali yangu sili silali nistiri pia we
Ni wewe unaniumiza baba
Ni wewe wa kunipa mahaba
Nilewe japo hata kibaba
Na uniongeze wee
Ni wewe unaniumiza baba
Ni wewe wa kunipa mahaba
Nilewe japo hata kibaba
Na uniongeze wee
Japo wakituona ila nisharidhika nawe
We ning'onge kwa nyuma
Vyovyote nitakuwa nawe
Japo wakituona ndo nisharidhika nawe
We ning'onge kwa nyuma
Vyovyote nitakuwa nawe
Basi nikune we, ninapowashwa nichue dawa
Usinikwangwangue nione na huruma ili twende sawa
Basi nikune we, ninapowashwa nichue dawa
Usinikwangwangue nione na huruma ili twende sawa
Ecouter
A Propos de "Nikune"
Plus de Lyrics de RECHO KIZUNGUZUNGU
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl