Paroles de Washa
Paroles de Washa Par KAREN
Aaaaaaaahhh….. Helele.. hmmm
Kwanza shikamoo mapenzi
Utamu wako naujua ga mwenyewe
Kwenda resi mi siwezi
Usiniburuze ukaniacha mwenyewe
Nimepeta mwandani wangu
(Sinaga fujo)
Kichale cha moyo wangu aaah
Uwanjani kumenoga mapambo
Na doti za vitenge nikamtunze somo oh
Longo longo (longo longo)
Tuzifungie pembeni
Mama mwali u wapi tulisakate ngomaa
Zile ngo ngo (ngo ngo)
Zimepata funga semi
Nitazitoa kimaso maso zikome zao nongwaa
[CHORUS]
Aah baby eeh (washa washa)
Nione raha (washa washa)
Tuhazike maneno (washa washa) Nikune
Wapate habari atakama hawana bando (washa washa)
Leo ndio leo ooh (Washa washa)
Wajikunie penbeni
Hmmm Hmmm
Mapenzi bidhaa isoisha thamani
Na makeke ya chumbani
kudamshi kitandani burudaani
Zogo usiendekeze
wake ulimi peremendee
Ubani kuchoma kwenye mooto…
Yasijenitesa mazoe aaah
Moyo nikaja kuuchua
Pingu ukazifungua
Wapate la kuongea majirani
Longo longo tuzifungie pembeni
Mama mwali ya wapi tulisakate ngomaa
Zile ngo ngo ngo ooh
Zimepata funga semi
Nizitoe kimaso maso zao nongwa
[CHORUS]
Aah baby eeh (washa washa)
Nione raha (washa washa)
Tuhazike maneno (washa washa) Nikune
Wapate habari atakama hawana bando (washa washa)
leo ndio leo ooh (Washa washa)
Wajikunie penbeni
Zile nganganga ucje kuchomokaa
(doze dozee doze dozee)
chunga na ulimi usije kunikataa (doze doze)
Aaah aah (Dozee Dozee)
hhmmh (Doze)
oh baby eeeh
Ecouter
A Propos de "Washa"
Plus de Lyrics de KAREN
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl