Bwana Mkubwa Lyrics
Bwana Mkubwa Lyrics by FOBY
[VERSE 1]
Siyo kisa umepewa bastola
Ndo kila kukicha uue
Pengine kukaa nyuma kama kola
Tusi mzembe si wewe
Ningekupa mi ningekupora
Tuone
Mana watoto wa mjini unachowafanya
Hayaaaaa aa wee
Kuna wengine unawamiminia risasi
Bila kuangalia rika
We mtu gani hata husikii ukakasi
Watu wanavyolalamika
Siyo uumbaji
Mungu hajaumba hicho kipaji
Siyo uumbaji ni we mwenyewe
Siyo uumbaji
Mungu hajaumba hicho kipaji
Siyo uumbaji ni we mwenyewe
[CHORUS]
Bwana mkubwa ooh bwana
Bwana mkubwa
Ubadilike bwana
Bwana mkubwa eeh
Bwana
Bwana mkubwa
Bwana
Bwana mkubwa ohh bwana
Bwana mkubwa
Ubadilike bwana
Bwana mkubwa eeh
Bwana
Bwana Mkubwa
[VERSE 2]
Natamani kungekuwaga na limit
Ohh limit ya kupiga risasi
Ukipiga mbili (kwa mwaka)
Kinawekwa kizingiziti
Ohh kizingiziti
Hazitoki ndo basi
Kama zumbukuku
Hayo ufanyayo
Ufanyayo
Tabia za kuku
Kwa binadamu siyo
Ohh siyo
Kuna wengine unawamiminia risasi
Bila kuangalia rika
We mtu gani hata husikii ukakasi
Watu wanavyolalamika
Siyo uumbaji
Mungu hajaumba hicho kipaji
Siyo uumbaji ni we mwenyewe
[CHORUS]
Bwana mkubwa ooh bwana
Bwana mkubwa
Ubadilike bwana
Bwana mkubwa eeh
Bwana
Bwana mkubwa
Bwana
Bwana mkubwa ohh bwana
Bwana mkubwa
Ubadilike bwana
Bwana mkubwa eeh
Bwana
Bwana Mkubwa
[HOOK]
Siyo uumbaji
Mungu hajaumba hicho kipaji
Siyo uumbaji ni we mwenyewe x
[CHORUS]
Bwana mkubwa
Ooh bwana
Bwana mkubwa
Ubadilike bwana
Bwana mkubwa eeh
Bwana
Bwana mkubwa
Bwana
Bwana mkubwa ohh bwana
Bwana mkubwa
Ubadilike bwana
Bwana mkubwa eeh
Bwana
Bwana Mkubwa
Watch Video
About Bwana Mkubwa
More FOBY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl