Funguo Lyrics
Funguo Lyrics by FLORENCE ADENYI
Yesu nipe Funguo
Baba Nipe Funguo
Yesu nipe Funguo kwa huduma Yangu
Yesu nipe Funguo
Baba Nipe Funguo
Yesu nipe Funguo kwa maisha Yangu
Baba Nipee Funguo
Yahweh naomba Funguo
Naamka asubuhi naenda tafuta riziki
Ili niwalishe ndugu na jamaa Zangu
Nikifika milango imefungwa
Ooooooh naomba Funguo
Yesu nipee Funguo
Nipee Funguo Nipee Funguo
Kwa maisha yangu
Nataka kuenda mbele
Nipee Funguo
Kwa maisha yangu
Nimetoka mbali Mimi
Nimejitahidi sanaar Mimi
Nimejitahidi sanaar kuyashinda
Haya magumu
Nimetembea sanaar Mimi
Imefika wakati Mimi Sasa nimechoka
Maana nilifikiri hapo ndio mwisho wangu
Kumbe bado natakiwa kuendelea
Nami baba nipee Funguo
Milango ya pale pote imefungwa
Nipee Funguo Baba
Nipeee Funguo Baba
Nipee Funguo ya maisha yangu
Usiniache niangamie
Ila ya kodi nimelemewa
Nimekosa tumaini na msaada
Nimepitia kwa Moto miee
Kama Ni gharama nimelipa mie
Baba nipee Funguo Nipee Funguo
Nipeee Funguo ya maisha yangu
Wewe Ni tabibu
Moyo walia Mimi nakusubiri
Hatua Zangu Ni fupi siezi Bila wewe ooooooh nimeshika mkono wako
Nitaenda mwenyewe
Nipee Funguo
Naomba nipee Funguo
Watch Video
About Funguo
More FLORENCE ADENYI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl