Neno Lyrics
Neno Lyrics by FENNY KERUBO
(Jawabu Studios)
Neno, neno, neno, neno, neno la Mungu
Limetuchonga chonga
Limetutengeneza, limetutengeneza
Limetuchonga chonga
Limetutengeneza, limetutengeneza
Lainisha, lainisha
Lainisha, lainisha
Lainisha, lainisha
Lainisha, lainisha eeh
Hapo mwanzo palikuwa na neno
Hapo mwanzo palikuwa na neno
Nalo neno lilikuwa Mungu
Nalo neno lilikuwa Mungu
Wachawi wote, hawataweza
Wachawi wote, hawataweza
Mpinga Kristo hataweza
Halipingiki, halipingiki
Neno, neno, ni nyundo
Mamamamamama
Ni upanga
Ukatao kuwili kuwili
Lainisha, ah lainisha
Linalainisha, linasawazisha
Ah linaweza, lina maarifa
Sikilize na neno lake
Sikilize Mungu analo neno
Neno la Mungu ni taa yako
Neno la Mungu ni uzima wa milele
Neno la Mungu ni mwanga wa njia zako
Hulainisha, hulainisha
Hulainisha, hulainisha
Lainisha, lainisha eeeh..
Lainisha, lainisha
Lainisha, lainisha eeh
Neno, neno, neno, neno la Mungu
Limetuchonga chonga
Limetutengeneza
Limetuchonga chonga
Limetutengeneza
Lainisha, lainisha
Lainisha, lainisha
Lainisha, lainisha
Lainisha, lainisha eeh
Cheza na maneno, bali si neno
Cheza na maneno, bali si neno
Maneno maneno maneno ya wanadamu
Maneno ya wanadamu
Lakini si neno la Mungu
Walocheza nalo waliangamia
Walocheza nalo walikufa
Walocheza nalo walilaaniwa
Wana, wana wa Eli walilaaniwa
Walipocheza na madhabahu
Walipocheza na vitu vya hekalu
Sikilize Mungu na neno lake
Wanadamu wana maneno mengi
Meneno ya wanadamu huleta mauti
Meneno ya wanadamu huleta kilio
Meneno ya wanadamu huumiza moyo
Meneno ya wanadamu hufarakanisha nyumba
Meneno ya wanadamu huharibu akili
Neno la Mungu ni Uzima wako
Neno la Mungu ni Uzima wako
Linalainisha, linatawazisha
Linafurahisha, linaleta afya
OOh lainisha, lainisha
Neno linalainisha
Lina leta raha, lainisha eeh
Lainisha, lainisha
Lainisha, lainisha
Lainisha, lainisha eeh
Nasema litasonga litaenda mbele
Nasema, neno litaendelea
Nasema lazima
Simama, simama
Simama, litasimama
Ninapenda milele
Ninapenda milele
Ninapenda milele eeh
Watch Video
About Neno
More FENNY KERUBO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl