SOSUUN Sisi Ndio Kusema cover image

Sisi Ndio Kusema Lyrics

Sisi Ndio Kusema Lyrics by SOSUUN


Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Basi skia(Mmmh) Juu tumeshasema

Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Basi skia(Mmmh) Juu tumeshasema

Nani ndo kusema Sosuun ndo kusema
Kichwa imefura juu ya vitu natema
Nimerudi kambi nishadunga mpaka hema
Na ukinyeta nafinya unashindwa kuhema

Haha Major, yes am major
Nilipe bunda nono shinda vijana wa Kansoul
Show natokwa na sneakers leso na kangol
Miti iliweza interview nika cancel

Nina uwezo tena mkubwa, hiyo ni kitu ninajua
Brand kubwa kam nikupe kibarua
Na kunikaribia bado ni kibarua
Utapanguzaga floor mi nikichafua

Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Basi skia(Mmmh) Juu tumeshasema

Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Basi skia(Mmmh) Juu tumeshasema


Miti ndio kusema mkikata hatutapumua
Ex hawezi move on bado anasumbua
Mtoi nilipata kama bado niko form 1
Sai wako wengi kindergarten nitafungua

Ati mi ndio kusema usiulizange ni nani
Mikono zangu chafu nimeguza dirty money
Nimeuza everything mpaka za Bob Marley
Pesa ndio kusema naisaka ka Kimani

Na kama we mjanja si uliskia money talks
Hii ndio machozi yuliliza hadi poko
Si uliskia Zari alisema hataki Apoko
Ringtone hahaha hataki msoto

Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Basi skia(Mmmh) Juu tumeshasema

Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Basi skia(Mmmh) Juu tumeshasema

Main chic na Tday Bar tunaraise higher
Hawa marapper sai ni kuwa inspire
Mistari kibao mpaka huskii nahire
Kwa streets, mpaka huskii na hire

Wananiitaga buda hata ka siko
Nilishawaroga wanajua curse iko
Chuo nilimada but bado class iko
Mafans ndio kusema kupepeta ka jiko

Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Basi skia(Mmmh) Juu tumeshasema

Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Nani ndio kusema? Aii sisi ndio kusema
Basi skia(Mmmh) Juu tumeshasema

Watch Video

About Sisi Ndio Kusema

Album : Sisi Ndio Kusema (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jan 24 , 2020

More SOSUUN Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl