TUNJI Sina Time cover image

Sina Time Lyrics

Sina Time Lyrics by TUNJI


Nina mbota mbili but sinaga time
Niko up and active nikisaka denz
Mi ni gone case vile hucommit macrime
Vile mi hufuck beats zi scream aah

Am the best that will ever be
Best in the death of me
Mimi na mziki we totally --
I am a god, there  --
Kama huniradi why should you follow me

Enda kasake mafala wenzako
Hapa ni uzazi hatutaki watoto
Sleki sleki utakula mangoto
Sipendi mahoe, sipendi mamtaro 

I told you, that I will never play nice
Been chill but you can't touch my ice
Mi hushow up ka unaeza fika my price
Facts say nigga whats --

Naeza kupika ukadishiwe na madogi zangu
Ukitry kufuck na mali yangu
Manzi wako ni wa community
Amepitiwa na kila msee wa crew yangu
Isipokuwa mimi tu, 
Mi sidai kwani iko nini?

Kenye anakinda mi siwezi buy
Ju mali yake iko chini plus nafocus on music
Si chase pudesh
I look like billion in cash to make
Mi huwasha moto without the match
Speed yenye nasonga huwezi nicatch

Got a psycho bitch trynna sue me
Scroll zake na matext am assume me
Got another bitch on my line
Claiming thays she want me 
Am like 'Who me?'

Sina time(Sina)
Sina muda wa kupoteza 
Told the waiter chafua meza
Na zikilala nitaongeza

Sina time(Sina)
Sina muda wa kulegeza 
Told the gal to loose my number
Ka si pesa please tembeza

Sina time(Ah sina)
Ka hatubongi juu ya mkwanja 
Ka hatubongi juu ya mkwanja 
Ka hatubongi juu ya

Sina time
Ka hatubongi juu ya mkwanja 
Ka hatubongi juu ya mkwanja 
Ka hatubongi juu ya, sina time 

Nawatake up juu ya hizi alphabets
Hadi Ace the don knows the Alpha yes
Ki bernadi am too blessed
To be dealing na mamanzi useless

Kaa rada I spend all my money on shoes
Buy me a pair then boss up for the crew
Nasaka hizi ganji ka bibi ya Kimanzi 
Ndo pia mi niduu shopping majuu

Nikiaclinchia stephu 
Ju riba ni ati naeza crush gate sasa
Ki Starboy I take them back to the matter 
Open and close mi humada machapter
Sitaki mapicha , no photographer 
Keep all my secrets mi huroll undercover

I only cry when I loose a brother
Not when I loose significant other
Out to even the score
Hakuna kimya siwezi kimya no more
Flow ina utamu utadhani patco
Mi si increase sober mi hudeep in Dior
Walikuwa curious sana juu ya keja yangu
Ikabidi nimetint vioo

Mi ndio the leader wengi kondoo
Cut a few -- ju we una koo
We connected design ya -- said najenga my label
Beat killer no, CPR, ita pathologist to the table
And I say, love haters, fuck friends
Love money, fuck trends on the road to my new ends
With your girl riding like a new benz

Sina time(Sina)
Sina muda wa kupoteza 
Told the waiter chafua meza
Na zikilala nitaongeza

Sina time(Sina)
Sina muda wa kulegeza 
Told the gal to loose my number
Ka si pesa please tembeza

Sina time(Ah sina)
Ka hatubongi juu ya mkwanja 
Ka hatubongi juu ya mkwanja 
Ka hatubongi juu ya

Sina time
Ka hatubongi juu ya mkwanja 
Ka hatubongi juu ya mkwanja 
Ka hatubongi juu ya, sina time 

Sina time ya kuflexx nah nah nah
Sina time ya kustress nah..
I only got time to make me better
I only got time for the money man

Watch Video

About Sina Time

Album : Sina Time (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 24 , 2019

More TUNJI Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl