Come To Me Lyrics by FENNY KERUBO

Nilifurahia walipo niambia tuende nyumbani mwa Baba
Nalifurahia walipo niambia Tuende nyumbani mwa Baba
Alifurahia Waliponiambia twende 
Twende katika twende katika twende katika
Nyumba mwa Bwana Huko ndiko Kuna Furaha Amani Upendo ,Tumaini Baraka kibao chungu nzima 
Mafaa,,Mafaaa,,

Mafaaa mafaanikio Success success success
Eeeeeeeh
Come to me My child 
Come to me Try me 
I'll never let you down
Protect you
Fight for you
Bless you

My Provider why worry
Why worry
Why worry
Never give up
Never give up
Never give up
For you I love me

Kujeni kwangu nami nitawapumzisha
Amba Wanje 
Amba Amba 
Zunguka zunguka 
Zunguka zunguka

Kuyanza kuyanza 
Never Come to me
My child 
Come to me try me
I'll never let you down
I'll protect you
Never let you down
Why worry
Never give up
Never give up 
Come to me 
Usilie mwanangu
Njoo kwangu Nitakupumzisha
Njooni kwangu nitawapumzisha

Music Video
About this Song
Album : Come To Me ,
Release Year : 2019
Copyright : ©2019
Added By: Its marleen
Published: May 01 , 2020
More Lyrics By FENNY KERUBO
Comments ( 0 )
No Comment yet