Tuzidi Lyrics
Tuzidi Lyrics by FARI ATHMAN
U hali gani? Napiga simu nijulie hali
I wanna let you know you being so sweet
Na si utani najisahau kweli mi ni nani
Nimekuchizi nimekutamani
You gonna be the one for me oh queen
Baby love, hisia zangu zimepata zako dada
Tena love usingizi naukosa kisa kukuwaza
Bado nakumbuka message ulizotuma za kunipa raha
Zinafanya nakuhata, you are my love
You are my love
Uzidi uzidi, uzidi we kunipa love
Baby we ndo my love nitakuita baba
Nami nizidi nizidi nizidi kukupa my love
Baby yes I'm the one unaniita mama
Mmh uzidi, uzidi
Zi zi zi zidi
Mmh uzidi, uzidi
Zi zi zi zidi, zidi
Nikumbatie haya mapenzi ni rajha ufurahie
Nyoka toka pangoni let me sing for you
Cheza mpaka kifuani got my eyes on you
I'm not an ordinary Kenyan girl
Wacha nikupe niite Kenyan love
I feel so crazy but I feel so fine
Baby you're my lifeline
Uzidi uzidi, uzidi we kunipa love
Baby we ndo my love nitakuita baba
Nami nizidi nizidi nizidi kukupa my love
Baby yes I'm the one unaniita mama
Mmh uzidi, uzidi
Zi zi zi zidi
Mmh uzidi, uzidi
Zi zi zi zidi, zidi
Watch Video
About Tuzidi
More FARI ATHMAN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl