...

Pressure Lyrics by FARI ATHMAN


Sio ngumu kuibandika maneno ya kwangu kwiweka ya kwako

Utajipata umekufa na pressure bure

Akisema mungu baraka zifike za kwako hata ukifika 40

Zitakupata iwe ni wapi kule

Wacha kufororce

Itakuja yenyewe lakini kivyakey, madam boss

Siku yako ikifika na jina wakuite, usicopy

Ninachofanya you don’t wanna regret the mistakes, you don’t know

Ninachofanya ndio mahati niko nifike

Pressure, punguza pressure take it slow

Nasema, reduce the pressure there’s nothing more

Pressure, usijiweke pressure kwa vitu ndogo

Pressure, ukijipa pressure you’ll lose it all

Tell me why unang’ang’ ana

Kushi maisha huwezi maintain at the moment

Huoni kama unajiumira mmmh

Kama ni hao marafiki

Watakutenga because you don’t have a fancy closet

Or maybe you don’t even own a car

Let them leave and let you be

Sio mbaya kusema that one day i will be this and i’ll do that

Kama sio sahii maybe someday

Yule aliyonibariki ni huyonhuyo unaemoumba

Kila mtu na siku yake

Hapo ulipo ndio mi nilitoka

Pressure, punguza pressure take it slow

Nasema, reduce the pressure there’s nothing more

Pressure, usijiweke pressure kwa vitu ndogo

Pressure, ukijipa pressure you’ll lose it all

Pressure, punguza pressure take it slow

Nasema, reduce the pressure there’s nothing more

Pressure, usijiweke pressure kwa vitu ndogo

Pressure, ukijipa pressure you’ll lose it all

Watch Video

About Pressure

Album : (Single)
Release Year : 2025
Copyright :
Added By : Farida
Published : Jul 15 , 2025

More FARI ATHMAN Lyrics

FARI ATHMAN
FARI ATHMAN
FARI ATHMAN

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl