Baba Lyrics
Baba Lyrics by AALIYAH STEPHANE
Nibebe mgongoni usinisahau mi mwanao
Hii roho jamani imejaa jina lako
Na unishike kwa mkono usiniache mpweke
Haka karoho jamani niendete niendete
Baba nitafanya nini ni karibu yako
Mama nimewaza sana kwa ajili yako
Natamani kukupigia mbona kanikimbia
Nahisi utaregea labda unahisia
Au labda nisikulaumu
Yakushinda haya majukumu
Mama natamani hata kunywa sumu
Ila ukiniona inamshindaga
Nibebe mgongoni usinisahau mi mwanao
Hii roho jamani imejaa jina lako
Na unishike kwa mkono usiniache mpweke
Haka karoho jamani niendete niendete
Niendete nino, endete nino ka hee
Nambira uliko nahenza nikumanye
Nzabukara ----
Daddy sikia nikueleze
Usiniache mimi niteleze
Nakupenda nakupenda sana
Basi njoo unibembeleze
Wala usinitendekeze
Upendo wako nielekeze baba
Sijui ulipo sijui u hali gani
Kama wateseka au unapiga burudani
Popote uliko jua nakutamani
Simu baba kwangu haina dhamani
Nibebe mgongoni usinisahau mi mwanao
Hii roho jamani imejaa jina lako
Na unishike kwa mkono usiniache mpweke
Haka karoho jamani niendete niendete
Watch Video
About Baba
More AALIYAH STEPHANE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl