Mambo Madogo Lyrics by SUDI BOY

Ingekuwa ni binadamu ndo anapeana riziki
Sijui sisi wengine tungekuwa wapi
Ila aliye juu ndio mtoaji
Na wala sitokufuru kanipa kipaji

Hata ukienda Sumba Wanga
Unajidanganya
Utaichelewesha tu
Lakini sitowai kosa katu

Alichokipanga huwezi pangua
Nyota keshanipa huwezi chukua
Alichokipanga huwezi pangua
Nyota keshanipa huwezi chukua

Mambo madogo hayo, mambo madogo
Mambo madogo (Mambo madogo hayo)
Mambo mambo, mambo madogo dogo do
(Mambo madogo hayo)

Mambo madogo hayo, mambo madogo
Mambo madogo (Mambo madogo hayo)
Mambo mambo, mambo madogo dogo do
(Mambo madogo hayo)

Unapata mtu katoka mbali kwa miguu
Kaja kutafuta kazi unaitisha kakitu
Mwengine amesoma hadi chuo kikuu
Unamfukuza na makaratisi unampatia ndugu
Na hajahitimu

Wala usijali
Siku yako haiko mbali
Kiza kikitanda zaidi
Bado kidogo kiwe shwari

Alichokipanga huwezi pangua
Nyota keshanipa huwezi chukua
Alichokipanga huwezi pangua
Nyota keshanipa huwezi chukua

Mambo madogo hayo, mambo madogo
Mambo madogo (Mambo madogo hayo)
Mambo mambo, mambo madogo dogo do
(Mambo madogo hayo)

Mambo madogo hayo, mambo madogo
Mambo madogo (Mambo madogo hayo)
Mambo mambo, mambo madogo dogo do
(Mambo madogo hayo)

Mambo madogo hayo, mambo madogo
Mambo madogo (Mambo madogo hayo)
Mambo mambo, mambo madogo dogo do
(Mambo madogo hayo)

Mambo madogo hayo, mambo madogo
Mambo madogo (Mambo madogo hayo)
Mambo mambo, mambo madogo dogo do
(Mambo madogo hayo)

Music Video
About this Song
Album : Mambo Madogo ,
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By: Huntyr Kelx
Published: May 07 , 2020
More Lyrics By SUDI BOY
Comments ( 0 )
No Comment yet