Atawale Lyrics
Atawale Lyrics by JUSTUS MYELLO
Myello pon dis n representing
Jesus come and reign
(Terrence on the track)
Atawale atawale tu
Mwachie Yesu atawale
Atawale atawale tu
Mwachie Yesu atawale
Wengi wanakuja na kwenda
Kesho tunawasahau ila, mwachie Yesu atawale
Kwa shughuli zako za life
Akupe hata mali akupe na kibali
Kwa mataifa mbali mbali
Najua pia ungependa kagari ka kifahari
Achia Yesu atawale maisha yawe shwari
Utamani kwenda mbali safari ni kali
Wengine wanasonga we unabaki pale pale
Achia Bwana atawale maana hata wale
Wanataka ubaki pale pale kwa zama za kale
Nani wa kushindana naye
Mwenye nguvu wa kubishana naye
Ni wewe tu bwana wa mabwana
Atawale atawale tu
Mwachie Yesu atawale
Atawale atawale tu
Mwachie Yesu atawale
Non near nuh expiry date, non near pon de blood
Non coulda wash I clean from sin but it blood
It make I better man and delivered and sanctified
How precious is the flow
It make I fresh, clean
All mi weakness is cleared up am free
Yes indeed its by the blood am here
I found salvation, its in the blood
Nani wa kushindana naye
Mwenye nguvu wa kubishana naye
Ni wewe tu bwana wa mabwana
Atawale atawale tu
Mwachie Yesu atawale
Atawale atawale tu
Mwachie Yesu atawale
Come and reign Lord, take over my God
The glory is yours come and reign
Come and reign Lord, take over my God
The glory is yours come and reign
Tawala tawala Yesu tawala
Tawala tawala Yesu tawala
Tawala tawala Yesu tawala
Tawala tawala Yesu tawala
Atawale atawale tu
Mwachie Yesu atawale
Atawale atawale tu
Mwachie Yesu atawale
Watch Video
About Atawale
More JUSTUS MYELLO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl