Mungu Mkuu (Zaidi ya Yote) Lyrics
Mungu Mkuu (Zaidi ya Yote) Lyrics by EVELYN WANJIRU
Unabaki kuwa Mungu pekee
Zaidi ya yote
Utabaki kuwa Mungu
Alfa na Omega
Hubadiliki kamwe iyee
Zaidi ya yote
Utabaki kuwa Mungu
Alfa na Omega
Hubadiliki kamwe iyee
Nikitazama nyuma na mbele, naona ukuu wako
Kaskazini, kusini pia, naona ukuu wako
Magharibi nako mashariki pia, naona ukuu wako
Zaidi ya yote
Utabaki kuwa Mungu
Alfa na Omega
Hubadiliki kamwe iyee
Zaidi ya yote
Utabaki kuwa Mungu
Alfa na Omega
Hubadiliki kamwe iyee
Hakuna mkamilifu katika wanadamu
Zaidi ya ewe Mungu wangu, Mungu wangu mmmh
Kila goti lipigwe, kila ulimi ukiri
Kuwa wewe ni Mungu pekee, pekee, ni wewe
Zaidi ya yote
Utabaki kuwa Mungu
Alfa na Omega
Hubadiliki kamwe iyee
Zaidi ya yote
Utabaki kuwa Mungu
Alfa na Omega
Hubadiliki kamwe iyee
Umenipigania vita vikali
Bado mimi singeweza pekee yangu
Maadui waliniandama
Lakini ukawatawanya kwa njia saba
Usifiwe, uabudiwe
Zaidi ya yote
Utabaki kuwa Mungu
Alfa na Omega
Hubadiliki kamwe iyee
Zaidi ya yote
Utabaki kuwa Mungu
Alfa na Omega
Hubadiliki kamwe iyee
Halleluyah
Ninakuabudu Baba yangu wee mmmh
Haubadiliki kamwe
Anabaki kuwa, Mungu tuu
Anabaki kuwa, Mungu tuu
Na kwa wakamba, Mungu tuu
Na kwa waluhyha, Mungu tuu
Na wakikuyu, Mungu tuu
Na waturkana, Mungu tuu
Hata wakisii, Mungu tuu
Hata waluo, Mungu tuu
Na kwa wamasai, Mungu tuu
Na kwa wakalenjin, Mungu tuu
Wamijikenda, , Mungu tuu
Anabaki kuwa, Mungu tuu
Na kwa wazungu, Mungu tuu
Africa yote, Mungu tuu
Dunia yote, Mungu tuu
Utabaki kuwa Mungu mkuu
Atabaki kuwa Mungu
Utabaki kuwa Mungu mkuu
Zaidi ya yote
Utabaki kuwa Mungu
Alfa na Omega
Hubadiliki kamwe iyee
Zaidi ya yote
Utabaki kuwa Mungu Mkuu
Watch Video
About Mungu Mkuu (Zaidi ya Yote)
More EVELYN WANJIRU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl