Ngori Lyrics by RADI6


Rap ishakuwa taken
Behind bars kuna watu kadhaa
Ishakua taken
Behind pads Kuna watu navaa
Na nyi wote wasenge
Mnanuka na mnapenda kuhug
Natembea na RONG rende 
Kukinuka si unajua niku fyaaaam

Niko kwa duka ka bun
Naskumwa ka Unga Japan
Jina kubwa kiklan
Sitambui Umbwa ikibark
Kimziki mi pan
Uliza OG ni fan
Rafiki na nyoka kiplan
Collabo na Breeder a inakam

So shika rada kua mjanja 
After life nageuka mbang'a
Kukula hongo na kuteka mafala
Kwa mapinji nitakua smarter
Mnatafuta kiki niko hapa 
Kama bibi akitafuta bwana
Si wajanja mkivuta shada
Ni adolescent tu imeanza

Nabeba upini, nadunga sahara
Luku ya mwizi najisunda na para
Umebebwa rahisi ka mlevi amelala
Hatubahatishi utapotea ukipata
Rap nimeishikilia kidini
Verse nawapatia kikasisi
ATI rasta baby ndio bibi
Nakula pilau na wanafiki

Trao haina mfuko juu ya mapiji
Na kama e-sir hamnitishi
Natesa ghetto, westy na jiji
ATI mental jua nimechizi
Si bahatishi hii shit rahisi
Inalook so easy but ni zoezi
So hata mkini boo nitakalia kiti 
Nyi washenzi naitwa warriah Eastleigh

Ka kitu ni ngori ngori
Na kutoka hadharani na siogopi
Pelekea mzazi repoti 
Akiskia Jina yangu anakanyagia story

Saksuliwa jinika na pori
Ka Boi nimgati tunampiga makofi
Adisiwa kihasho kibare 
Utachukua p3 na kwa court  sitoboki

[Chorus - Radi6]
Ka kitu ni ngori ngori
Si kitu umezoea buda
Ka kitu ni ngori ngori
Ukiskia tuma watoto kwa duka
Ka kitu ni ngori ngori
Si shit utaskiza na wa junior
Kakitu ni ngori ngori huh
Ka kitu ni ngori

Ka kitu ni ngori ngori
Si kitu umezoea buda
Ka kitu ni ngori ngori
Ukiskia tuma watoto kwa duka
Ka kitu ni ngori ngori
Si shit utaskiza na wa junior
Kakitu ni ngori ngori huh
Ka kitu ni ngori

[Scar mkadinali]
Yo yo yo jua nikungori
Esto yenyu tumeingia na trolly
Na hatujabonga na chogi
Kwanza ni ngware ma-morning
Inapataga mamorio wako roady

Woo woo woo
Hozo dogi zenyu ziko jocking
Rende imeweza bado ni rong
So unajuwaga sichochi
Kuja na mboga nakuja na ndom
Sima huwaga sikosi
Sister Zima uende kwa room
Fifa fifa huwaga sichoki
Pongi ikinuka napiga doom ffffff
Huwaga ni toxic

Mangware mi nijikate hali ya kusaka machwa
Juu nina msupa nisipoleta mkate anapenda kujam
Kam Kam nikuonyeshe mahali si tutaburn
Mbali na cops, mbali na opps, mbali na fam

Kuzoza nitazoza na ikikuuma unalia
Bro alikuja na dre hatujawai tumia ndio sai tunaiskizia
Mamako alishakukataza skia nitakupoteza njia
Borako nimekua na nimewaimbia hakuna haja ya kuwaibia

[Chorus - Radi6]
Ka kitu ni ngori ngori
Si kitu umezoea buda
Ka kitu ni ngori ngori
Ukiskia tuma watoto kwa duka
Ka kitu ni ngori ngori
Si shit utaskiza na wa junior
Kakitu ni ngori ngori huh
Ka kitu ni ngori

Ka kitu ni ngori ngori
Si kitu umezoea buda
Ka kitu ni ngori ngori
Ukiskia tuma watoto kwa duka
Ka kitu ni ngori ngori
Si shit utaskiza na wa junior
Kakitu ni ngori ngori huh
Ka kitu ni ngori

Watch Video

About Ngori

Album : Ngori (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Mar 17 , 2021

More RADI6 Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl