Staga Niki Medi Lyrics
Ethic Entertainment release their most hyped track "Staga Niki Medi" off the album
Staga Niki Medi Lyrics by ETHIC
Guza mkoba maova
Guza nka una cha gova
Nitaendea ova kwa gova
Ambapo anapendanga madeni
Ka ni kukata anakatanga mahenny henny
Staga nastaga nikimedi medi
Staga nastaga nikimedi medi
Mi ujali ganji na ladies
Mi ujali money so nataka many many
Staga nastaga nikimedi medi
Staga nastaga nikimedi medi
Ati staga nastaga nikimedi
Ju ya maji umededi ama tu umebleki
Na umenoki Wendy ama pia na Becky, sawa
Ngoja nianze kukata keki, now
We ni ka kabambe ju jo hauna class
Mi niko na money nipate kwa bar
Cheki ni funny umevaa kama fyat
Fyatu Mathare baadae ni fun
Hii wikendi naskia kukata ka keki
Naskia kukata bado henny
Pime peddy round moja aniseti
Piri we mrazi pigwa ting ting
Ye ni diva na anakatika na chupi
Ringi keroma haweki chumvi
Zikishika mi nawashanga ki hoodi
Ringi Keroma haweki chumvi
Ambapo anapendanga madeni
Ka ni kukata anakatanga mahenny henny
Staga nastaga nikimedi medi
Staga nastaga nikimedi medi
Mi ujali ganji na ladies
Mi ujali money so nataka many many
Staga nastaga nikimedi medi
Staga nastaga nikimedi medi
Penda, mi napenda vile baze tu ubweka
Nipe chingri tujilipue tena
Na kiPipu tutachafua tena
Kenya na Pipu Doni pewa
Ka we unatoka Kariakor
Medi seti twendee form
Chain madancey ndo ati mtaa
Hii ndo base tu sing along
Ambapo anapendaga madeni
Ka ni kukata anakatanga mahenny henny
Staga nastaga nikimedi medi
Staga nastaga nikimedi medi
Mi ujali ganji na ladies
Mi ujali money so nataka many many
Staga nastaga nikimedi medi
Staga nastaga nikimedi medi
Waiter ova maova
Guza mkoba maova
Guza nka una cha gova
Nitaendea ova kwa gova
Ati avocado kwa dibre
Avocado kwa gheede
Avocado kwa mixer
Avocado kwa jing
Avocado after gym
Avocado za green
Avocado kwa meal
Before meal, after meal
Ambapo anapendanga madeni
Ka ni kukata anakatanga mahenny henny
Staga nastaga nikimedi medi
Staga nastaga nikimedi medi
Mi ujali ganji na ladies
Mi ujali money so nataka many many
Staga nastaga nikimedi medi
Staga nastaga nikimedi medi
Ambapo anapendanga madeni
Ka ni kukata anakatanga mahenny henny
Staga nastaga nikimedi medi
Staga nastaga nikimedi medi
Mi upenda ganji na ladies
Mi upenda money so nataka many many
Staga nastaga nikimedi medi
Staga nastaga nikimedi medi
Avocado kwa dibre
Avocado kwa gheede
Ati avocado kwa mixer
Avocado kwa jing
Avocado after gym
Avocado za green
Avocado kwa meal
Before meal, after meal
Watch Video
About Staga Niki Medi
More lyrics from Big Man Bado Odinare album
More ETHIC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl