ETHIC Gwara cover image

Gwara Lyrics

Gwara Lyrics by ETHIC


Ati ati ati ka kawa 
Mwaka iko sawa bila swara
Saka ukipata ni za dawa
Kata jo kata na gwa gwara

Eh ati ati ati gwa gwara
Kata jo kata na gwa gwara
Gwa gwara 
Kata jo kata na gwa gwara eh

Mzee kihara kipara
Spoti mi napenda sigara mwafaka
Bado naeza simama imara busara
Ona daily narauka bila alarm kusaka
Bila alarm kusaka, ukisema na adabu
Sema naam nataka
Daily narauka bila alarm bila alarm
Si tufanye maajab, sema naam sema naam

Ka kawa 
Mwaka iko sawa bila swara
Saka ukipata ni za dawa
Kata jo kata na gwa gwara

Eh ati ati ati gwa gwara
Kata jo kata na gwa gwara
Gwa gwara 
Kata jo kata na gwa gwara

Napakanga rangi kwa viatu za landi
After kuchai ka amefunga padi
Cheki ni study uone mi ni odi
Aroma ni ya chai skuma na chapati

Cladi nenda uchambue pale wathii za wanga
Nenda uchambue ju una ganji 
Keroma ni chai skuma na chapati
Anikanga panty bila wasi wasi

Ka kawa 
Mwaka iko sawa bila swara
Saka ukipata ni za dawa
Kata jo kata na gwa gwara

Eh ati ati ati gwa gwara
Kata jo kata na gwa gwara
Kata jo kata na gwa gwara
Kata jo kata na gwa gwara

Ati na niko fast, faster ka fibre
Nina sha, shada na lighter
Unakaa mka, mkamba ama mtaita 
Si ni ka Cyber na wifi

Ati na niko fast, faster ka fibre
Nina sha, shada na lighter
Unakaa mka, mkamba ama mtaita 
Si ni ka Cyber na wifi

Twende ndani, twende ndani
Twende ndani, cheki ndani ngori
Tuzitoke tuzikwende, tuzitoke
Mchague nani ngori

Tingisha kiuno, ati kiuno
Tingishia neiba hapo kiuno
Tingisha kiuno, ati kiuno
Tingishia neiba hapo kiuno

Ka kawa 
Mwaka iko sawa bila swara
Saka ukipata ni za dawa
Kata jo kata na gwa gwara

Eh ati ati ati gwa gwara
Kata jo kata na gwa gwara
Gwa gwara 
Kata jo kata na gwa gwara

Watch Video

About Gwara

Album : Big Man Bado Odinare (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Ethic Entertainment
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jun 12 , 2020

More lyrics from Big Man Bado Odinare album

More ETHIC Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl