...

Nyasaye Rita Lyrics by ETHAN MUZIKI


Kuna watu nguvu zao ni za giza

Chini chini wanapanga kukuumiza

Hawawezi shindana na Ebenezer

Maombi za nyumbani zinaniweka

Hauwezi dim mwangaza wangu

Hauwezi dim najiamini

Kila siku najiamini hawanioni niko on my time

Upepo wa bahari na utamu wa my tide

Wakuenda mi sijali wataenda

Wakunipenda najua watanipenda

Aliye juu huyo ndiye naimpress

Na nitazidi kutesa

Ilishaandikwa

Nani anaweza kuipinga

Hakuna anaeweza futa jina

Mungu pekee ndie kusema

Iliandikwa ilishaandikwa

Ilishaandikwa ilishaandikwa ilishaandikwa

Nyasaye rita Nyasaye rita Nyasaye rita

Ilishaandikwa ilishaandikwa ilishaandikwa

Nyasaye rita Nyasaye rita Nyasaye rita

Yeah aah

Nasijali mahali napita

Najua nimeshinda vita

Number one I get to keep a hundred saa hii I keep it a meter

Ona mboka imejipa

Ngori nzao zikidiffer

I know I got my bro on speed dial ama vipi Kethan

Nowadays nazipata Baraka daily ni ka naziorder kwa ebay

I reside in Canaan milk in abundance

And I never run on the debray

In the wilderness I was never alone nikipigwa na vumbi ya kite

Now ten years later I’m on my throne kichele inaflow kama rive

Nani anabishana na most high

Background nimetoka ni hostile

But I held my had high despite that

Ju nilijua God ako close

And I won’t lie

Man I met some people whose intention was to break my soul

But at no point I said that I would give up on my dreams and goals

And you can do the same

You can make it through the pain

Ilishaandikwa brathe

Binadamu hawezi change

So no matter the situation you going through

Keep your head up hommie

This song is dedicated to you

Iliandikwa ilishaandikwa

Ilishaandikwa ilishaandikwa ilishaandikwa

Nyasaye rita Nyasaye rita Nyasaye rita

Ilishaandikwa ilishaandikwa ilishaandikwa

Nyasaye rita Nyasaye rita Nyasaye rita

Wanaulizia dakitari

Naleta dawa nikiwaonjesha kiasi

Ni tamu sana

Utamu wa sharubati huwezi kana

Naifanyanga tofauti sio majini

Jijini hakukaliki bila kujituma

Na ninajua ilishaandikwa

Nyasaye rita Nyasaye rita

Watch Video

About Nyasaye Rita

Album : (Single)
Release Year : 2025
Copyright :
Added By : Sharon Abonyo
Published : Jul 29 , 2025

More ETHAN MUZIKI Lyrics

ETHAN MUZIKI
ETHAN MUZIKI
ETHAN MUZIKI
ETHAN MUZIKI

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl