Malaika Lyrics
...
Malaika Lyrics by ETHAN MUZIKI
Moja nilijua mara moja wakati sitapoteza
Nisije nikakukosa
Haijakua rahisi
Kupata penzi halisi
Ni tamu kupendwa hivi
What I need is what you are giving
Mimi wewe na mbingu
Ndio tunajua pekee
Naomba wenye wivu maulana niondolee
Huyu niachieni msinionyeshe tabu
Roho yangu nyepesi
Itashindwa kupiga damu
Mtoto mrembo njoo kwangu njoo
Something special
Never seen before
Mtoto mrembo njoo kwangu njoo
Something special
Never seen before
Aiyaya yaya nyathini mio malaika zangu zisimame
Aiyaya yaya nyathini mio malaika zangu zisimame
In this game I’ve walked oh my
And trust me it’s been a while since my last goodbye
Never see me come never see me go
I’m always in and out
Raundi hii nabaki ground
Urembo so profound
Na tabia sijaguza
Jaber adier ilomba
Hera mit bedo kodi
Irika okawuogi
Hapa kwako me sitoki
Jabber adier imora
Hera mit bedo kodi
Kikiwe jogo wuondi
Niko kwako
Mtoto mrembo njoo kwangu njoo
Something special
Never seen before
Mtoto mrembo njoo kwangu njoo
Something special
Never seen before
Aiyaya yaya nyathini mio malaika zangu zisimame
Aiyaya yaya nyathini mio malaika zangu zisimame
Aiyaya yaya nyathini mio malaika zangu zisimame
Aiyaya yaya nyathini mio malaika zangu zisimame
Watch Video
About Malaika
More ETHAN MUZIKI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl