Nimetokea Ki Sos Lyrics
Nimetokea Ki Sos Lyrics by EQUE
Hapa ni EQue dem ana IQ
Ninachocha mafisi wajoin kwa queue
Hawa mamorio wanadai kunichew aah
Sitishiki nina mashini ya kuservice kila mtu
Leta engine natoa hiyo kutu
Napenda flavour ata ikiwa mwitu
Nadai mate kwenye paka wa msitu
Fyeka fyeka hadi upate hiyo kitu
Inalia inawashwa na kitunguu
Inspekta anadai shika dudu
Ni kama soldier nadai hiyo rungu
Nimetokea kisos, sos
Sijaanza kufloss, floss
Hapa mi ndio boss, boss
Sos, sos
Nimetokea kisos, sos
Sijaanza kufloss, floss
Hapa mi ndio boss, boss
Eeh sos, sos
Usiweke volume low ka ya ngwati
Paka yako inaonja ka nanasi
Kuna vile mimi nadai bibi ya Kanyari
Leo nammanga na sitoi ata shati
Party party, party party
After dunda nitakuspank na pati pati
Leo naroll mangwai ndani ya chapati
Kwa tumbo ndo nilianza madhambi
Miezi sita nanyonya jegi ya jirani
Mami, mami kumbe alikuwa sugar mummy
Nimetokea kisos, sos
Sijaanza kufloss, floss
Hapa mi ndio boss, boss
Sos, sos
Nimetokea kisos, sos
Sijaanza kufloss, floss
Hapa mi ndio boss, boss
Eeh sos, sos
Nimekam si ulisema utanikemba
Mautam mi nataka tu kubebwa
Handsome alenjadro nakupenda
Mi nasend we receive apo Xender
Cheki ass imefanya umekuwa asmatic
We ni mras vigentle don't hurt me
Am on bed vitu zingine sitaki
Nipe biringanya tu na supu yake
Na vile nimekuwanga nimependa vitu za katikati
Benzema amenitambua niko na taste ya mshikaki
Ongeza halua huwezi sema jo mi sitaki
Chunga utanirarua jo hii ni mali safi
Nimetokea kisos, sos
Sijaanza kufloss, floss
Hapa mi ndio boss, boss
Sos, sos
Nimetokea kisos, sos
Sijaanza kufloss, floss
Hapa mi ndio boss, boss
Eeh sos, sos
Watch Video
About Nimetokea Ki Sos
More EQUE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl