Chuma ya Doshi Lyrics
Chuma ya Doshi Lyrics by EQUE
Mimi ni empress queen wa machuma
Napenda chuma na stingo za nyuma
Lipua thutha chapa stokes bila huruma
Hii center inataka tu huduma
Taste yangu huwa chuma ya doshi
Izame ndani -- nitoe moshi
Chuma nyeusi imeivia pongi
Fare anatuma ikitoka Migori
Ama mluhya kutoka Maragoli
Ukifika karibu hakuna hodi
'Mum chuma ya Doshi ni nini?'
Chuma, chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi
Chuma, chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi
Chuma, chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi
Chuma, chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi
Niaje empress am here kukuimpress
Nilipata call yako concerning the Doshi interest
18 and over, hivo sitaogopa
Nitakuletea mwenyewe nikusetie kwa sofa
Na umepe badako walete na sio vako
Mi nawe sako kwa bako hadi tumwage majasho
Swali ni je utaweza kuihandle?
Hii chuma sio rahisi kama kukopa bundles
Ukifinywa vizuri utataka hizo za kando
Mi fundi mmoja deadly confirm na Njeri wa Dago aah
(Confirm na Njeri wa Dago aah)
Chuma, chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi
Chuma, chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi
Chuma, chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi
Chuma, chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi
(Mum nanii alisema atanletea chuma ya Doshi)
Hio uzito naifeel kama density
Beba bucket mimi ni kama mfereji
We nikule kama kuku ya kienyeji
Hii paka itambue we mwenyeji
Kujileta kwangu itakuwa daily
Nina nare nadai chali peddy
Anapenda lamba keki after ameseti
Nikichoka tunafunga mguu na neti
Choma beti later iwe kesi
Chuma ya mdosi na ikuwe kama ya mdosi
Chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi
Chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi
Chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi
Chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi
(Mum nanii alisema atanletea chuma ya Doshi)
Watch Video
About Chuma ya Doshi
More EQUE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl