Tamu Lyrics
Tamu Lyrics by ENOCK BELLA
Toto kisura, shepu karidhi kwa mama
Twaruka bura, bwana we akiinama
Kaoa chura eeh, dangi lawama
Mgongo rula, dhambi kufururana
Yaani kiungo fundi(aaah eeh)
Ananiwinda machachari
Masizi na lata kwaguni(aaah eeh)
kiwanjani ndio hatari(aaah eeh)
Inye inye, gwede gwede
Moyo wangu lege lege
Unaugua dege dege mamii
Inye inye, gwede gwede
Moyo wangu lege lege
Unaugua dege dege mamii
Napenda kanavyosema tamuu
Nipe yotee tamuu,
Siri ni likes it tamuu
Tukiwa wote
Girl say, she know she minds, tamuu
kwake nitampa time, tamuu
hii ndo chaguo lake, tamuu
kati ya wote, wotee
Such an empress, mi ndio natafuta
Never been no imitation, she haffi wear the crown
Pozi lake la Rockstar,
Cheki tu mafisi wote wakianguka down
Wamedata kifaster,
Laugh at de immitator in dem look like clown
baby girl we ndo master,
Lemmi guarantee you will never wear the frown
Feeling you you feeling me aaah,
Shawty we mean't to be
Nikupe love then nami
Shawty we mean't to be
Am feeling you you feeling me aaah,
Shawty we mean't to be
Nikupe love then nami
Shawty we mean't to be
Napenda kanavyosema tamuu
Nipe yotee tamuu,
Siri ni likes it tamuu
Tukiwa wote
Girl say, she know she minds, tamuu
Kwake nitampa time, tamuu
Hii ndo chaguo lake, tamuu
Kati ya wote, wotee
Inye inye, gwede gwede
Moyo wangu lege lege
Unaugua dege dege mamii
Am feeling you you feeling me aaah,
Shawty we mean't to be
Nikupe love mami
Shawty we mean't to be
Napenda kanavyosema tamuu
Nipe yotee tamuu,
Siri ni likes it tamuu
Tukiwa wote
Girl say, she know she minds, tamuu
Kwake nitampa time, tamuu
Hii ndo chaguo lake, tamuu
Kati ya wote, wotee
Tamu, tamu, tamu
Tamu, tamu, tamu
Watch Video
About Tamu
More ENOCK BELLA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl