
Naogopa Lyrics
...
Naogopa Lyrics by ENOCK BELLA
Mmmmmhh
Enock bella debase
Mapenzi hisabati
Hufanyika kwa matendo
Kama misamiaati
Tuyajaze mapengo
tena, nikamate mashati
Taratibu ndio mwendo
Chumbani nikarabati
Kwenye nguzo na engo
We ndio wangu waridi
Wa kwa joto na baridi
Unipae nikafaidi
Ooh laaa laaah
Wala sihitaji mashahidi
Ukinipa nipe Zaidi
Vikababu na vibibiih
Oh laaa laaah
Oooh naogopa
Pekee yangu naogopa
Kubaki mwenyewe naogopa
Oooh naogopa
Pekee yangu naogopa
Bila ya wewe naogopa
Kidogo nikikuleteaah
Pokea pokea
Mungu anatoa kwa nafasi
Yetu ya sogea
Ipo siku tutazi otea otea otea
Pikachuzi kitoweo tasi
Ugali nitasongea
Mmmmh
Usije dhubutu uh
Vitabia vya uchu uh
Ukawa kama kukuu
Nje kudonolea
Nitapiga marufuku uh
Wakina lufufu uh
Watatugawa nusuu
Penzi kutubomolea
We ndio wangu waridi
Wa kwa joto na baridi
Unipae nika faidi
Ooh laaa laaah
Wala sihitaji mashahidi
Ukinipa nipe Zaidi
Vikababu na vibibi
Oh laaa laaah
Oooh naogopa
Pekee yangu naogopa
Kubaki mwenyewe naogopa
Oooh naogopa
Pekee yangu naogopa
Bila ya wewe naogopa
Usije dhubutu uh
Vitabia vya uchu uh
Ukawa kama kukuu
Nje kudonolea
Nitapiga marufuku uh
Wakina lufufu uh
Watatugawa nusuu
Penzi kutubomolea
Watch Video
About Naogopa
More ENOCK BELLA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl