Nabii Lyrics
Nabii Lyrics by DOGO SILLAH
Kukicha mabaya yanafanyika
Na Mola tayari akikasirika
Ni vita ya shetani na malaika
Kila kukicha ndio maaana nimekuja
Nacheki dunia inavyotisha
Huyu kesi kapewa yule kaiba
Ni vita ya shetani na malaika
Kila kukicha ndio maaana nimekuja
Kutoka kwa Mola ujumbe nawaletea
Msioyasikia mtajionea
Kwanza naanza na wale
Walioweka misukule watoe
Kisha narudi kwa nyie
Midume feki isiokuwa na marinda ije
Utamweleza nini Mola wako alokuumba
Alikupa -- unageuzwa nyuma unakunwa
Tena unachuna
Utamweleza nini Mola wako alokuumba
Kuwafanya binadamu mwenzako kuwa watumwa
Inauma, tena inachoma
Mmmh mafisadi na wachawi mtaumbuka
Mnaowatesa mayatima mtayakoma
Itapolia parapanda mtaisoma ni noma
Mbona mtakoma
Mi nabii nimekuja kufufua
Mi nabii niliyetabiriwa
Mi nabii nimekuja kukemea
Mi nabii, mi nabii, nabii
Mi nabii nimekuja kufufua
Mi nabii niliyetabiriwa
Mi nabii nimekuja kukemea
Mi nabii, mi nabii, nabii
Sodoma na Gomora nyingine ikishafika
Mimi nitaunda Safina
Nitaweka mifugo watoto mi nakuondoka
Nyinyi mtanililia
Mimi kitoto mtume kutoka kwa Maulana
Nishatazama
Kuna gharika laja fanya kuungama
Kutenda mema
Mmmh mafisadi na wachawi mtaumbuka
Mnaowatesa mayatima mtayakoma
Itapolia parapanda mtaisoma ni noma
Mbona mtakoma
Mi nabii nimekuja kufufua
Mi nabii niliyetabiriwa
Mi nabii nimekuja kukemea
Mi nabii, mi nabii, nabii
Mi nabii nimekuja kufufua
Mi nabii niliyetabiriwa
Mi nabii nimekuja kukemea
Mi nabii, mi nabii, nabii
Watch Video
About Nabii
More DOGO SILLAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl