Boss Lyrics
...
Boss Lyrics by Disamoo
Mr LG
Boss tabia yako mbaya umemtongoza wife
Leo utanikoma funga mtaa inahamia kwako
Boss tabia yako mbaya umemtongoza wife
Leo utanikoma funga mtaa inahamia kwako
We boss weee kisa kipochi ndo baby wangu unibebee
Aaah sio kweli siwezi kukubali
Na umesema eti utamuonga gari
Aaah sio kweli siwezi kukubali
Kwanzia leo boss sitaki kazi na wewe
Kwanzia leo boss sitaki mgando na wewe
Kwanzia leo boss sitaki uchawa na wewe
Kwanzia leo boss sitaki shobo na wewe
Asa naongea na boss (weee boss )
Nasema na boss (weee boss)
Naongea na boss (weee boss )
Nasema na boss (weee boss)
Asa naongea na boss (weee boss)
Nasema na boss (weee boss)
Naongea na boss (weee boss)
Nasema na boss (weee boss)
Wanangu nikijipata vipi baby arudi geto
Nikipata maokoto arudi geto
Nawauliza nikijipata vipi baby arudi geto
Aaaah asirudi geto
Nikipata maokoto arudi geto aaaah asirudi geto
Yeee si alileta zalau kukuzalau wee
Kisa anatoka na doni achananaeee
Sisi mwenetu wee hatutaki upotee bora utafute mwengine yule temananaee
Kwanzia leo boss sitaki kazi na wewe
Kwanzia leo boss sitaki mgando na wewe
Kwanzia leo boss sitaki uchawa na wewe
Kwanzia leo boss sitaki shobo na wewe
Asa naongea na boss (weee boss)
Nasema na boss (weee boss)
Naongea na boss (weee boss)
Nasema na boss (weee boss)
Asa naongea na boss (weee boss)
Nasema na boss (weee boss)
Naongea na boss (weee boss)
Nasema na boss (weee boss)
Kama machete teeh weka tuweke
Keh shem si alileta mapepe peeh
Mwache asepee peeh kama machete
Teeh weka tuweke keh shem si alileta
Mapepe peeh mwache asepee peeh
Watch Video
About Boss
More Disamoo Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl