Without You Lyrics
Without You Lyrics by DJ SEVEN
Hebu chunga muda na masaa
Usije cheza na wangu mudaa
Nilikotoka nishaumizwa sana
Ooooh
Ni sawa na mtu kugonga kwaa na nyoka
Hata jani likikugusa unashtuka
Maana upendo ulishakufaga
Nooo
I've been trying to be silence
Sio kama naogopaga warembo
Ila naogopaga skendo
Ooooh
Simaanisha kuhepa mishale mimi
Sio kama nayaogopa mapori
Ugomvi sipendi
Eeeh
Kwako nishapenda mi
Meli imetia nanga eeeh
Nnje siwezi kwenda
Nimenasa kwa ulimbo ndo nimeganda
I can't live without you
Without you
I can't live without you
Without you
Beiby without you, without you
Without you, yeah yeah yeah yeah
Without you, without you, without you
I have never seen a girl like you
Ni wewe tu
Mbingu na ardhi hazitutenganishi
Ni wewe tu
Ni wewe tu, only you, only you...
Penzi kufuli mi ndio kifunguo
Sibadilishagi tu kama nguo
Nishafanya na michanganuo
Ati nakupenda hivyo
But my mama told me my son don't cry
You can choose anybody
Love is flower, love is flower
You are my flower too
Sinaga mambo za kuguung'e nyaki
Hali kasusu munene situmiagi
Nimezama niko deepling niko deepling
Na we uko deepling na deeply
I've been trying to be silence
Sio kama naogopaga warembo
Ila naogopaga skendo
Ooooh
Simaanisha kuhepa mishale mimi
Sio kama nayaogopa mapori
Ugomvi sipendi
Eeeh
Kwako nishapenda mi
Meli imetia nanga eeeh
Nnje siwezi kwenda
Nimenasa kwa ulimbo ndo nimeganda
I can't live without you
Without you
I can't live without you
Without you
Beiby without you, without you
Without you, yeah yeah yeah yeah
Without you, without you, without you
I have never seen a girl like you
Ni wewe tu
Mbingu na ardhi hazitutenganishi
Ni wewe tu
Ni wewe tu, only you, only you...
Macash cash kupostiwa kwenye page za udaku
Na umbea sipendelei, kamwe sipendelei
Macash cash kupostiwa kwenye page za udaku
Na umbea sipendelei, kamwe sipendelei, sipendelei
Watch Video
About Without You
More DJ SEVEN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl