Mawazo Lyrics by DIAMOND PLATNUMZ

Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo

Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo
Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Mara, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo

Ah sikujua mapenzi balaa, tena ni maradhi ya moyo kupendaga
Tena mapenzi karaha, yanajenga chuki na choyo kwenye cover

Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
Licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
Uhuni jaa burudani mtaani, akaamua kutimua
Inaniuma sana

Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo (mhh mawazo)
Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo (mmh kikwazo)
Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo (nipunguze mawazo)
Mara, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo (nna mawazo)

Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo

Yule jini kisirani kaingia, kwenye utamu wa penzi langu
Ameleta tafarani naumia, nalia na moyo wangu
Ona jini kisirani kaingia, kwenye utamu wa penzi langu
Ameleta tafarani... mwenzenu nalia na moyo wangu!

Kuwa mimi wivu ninao na roho yangu ninaumia
Kweli wapendanao ndo maadui zikitimia
Lile tinga langu la maraha, leo limekuwa sumu kwangu
Ona tena sina raha, ninacheka nnalia na moyo wangu

Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo (uhh mawazo)
Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo (oh kikwazo)
Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo (mawazo)
Mara, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo

Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo

Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
Licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua

 

Music Video
About this Song
Album : Diamond Singles (Single),
Release Year : 2013
Copyright : (c)2013
Added By: Trendy Sushi
Published: Feb 06 , 2020
More Lyrics By DIAMOND PLATNUMZ
Comments ( 0 )
No Comment yet