Mdogomdogo Lyrics
Mdogomdogo Lyrics by DIAMOND PLATNUMZ
Nimetembea tembea Bara na visiwani
ila nikajionea we ndio my Number one
Natamani nikupe ila sina
nimejaliwa upendo heshima..
Maneno yao matamu yasikuibe mama
si unajua binadamu wabaya sana
Wanawivu hao, wachonganishi hao
usije niacha kwa unyonge nachecheme Utamu wa finyango na tonge ukanielemea
Usije niacha kwa Unyonge nachechemea
Utamu wa finyango na tonge ukala kwangu
Mwendaazimu kaingiaje
Asije kitorondo
Mwendaazimu kaingiaje
Akanikatia na Uhondo
Mwendaazimu kaingiaje
Kitorondo kitorondo eeh
Mwendaazimu kaingiaje
Ikinasa mpaka uondoe
Mwendaazimu kaingiaje
Oooh Kitorondo
Mwendaazimu kaingiaje
Ikawa nyumba ya shetani
Mwendaazimu kaingiaje
Kidogo nikileta Mumypti usinune..
Nikumbatie unikiss nijivune
Kesho nizidishe ufanisi nijitumee.
Tujenge hadi nyumba Paris Wanunee
Vimichezomichezo vya Saloon chunga wakipanga
Wasije kukufunza vya uhuni ukawa unadanga
Ukaanza safari Mchana jua kali, usiku haulali ayaah
Wanawivu hao wachonganishi hao
Ukaanza safari Mchana juakali Usiku haulali Aah yaya
Mwendaazimu kaingiaje
Asije kitorondo
Mwendaazimu kaingiaje
Akanikatia na Uhondo
Mwendaazimu kaingiaje
Kitorondo kitorondo eeh
Mwendaazimu kaingiaje
Ikinasa mpaka uondoe
Mwendaazimu kaingiaje
Oooh Kitorondo
Mwendaazimu kaingiaje
(Ikawa nyumba ya shetani
Mwendaazimu kaingiaje!
Mdogomdogo
Mdogomdogo Usijali mama
Mdogomdogo We wacha waongee
Mdogomdogo Usiku na mchana
Mdogomdogo Mpaka wanyongee
Mdogomdogo Na ntakupenda sana
Mdogomdogo Mahaba ninyongee
Mdogomdogo sijali lawama
Mdogomdogo acha wanizonge
Mdogomdogo kachirikachiri
Mdogomdogo kachiri we ngao yangu
Mdogomdogo mwenzako taabani
Mdogomdogo nilindie roho yangu
Mdogomdogo wasije wa furani
Mdogomdogo wakaiba tamu yangu
Mwendaazim kaingiaje
Mwendaazim kaingiaje
Mwendaazim kaingiaje
Mwendaazim kaingiaje
Mwendaazim kaingiaje mdogomdogo
Mwendaazim kaingiaje
Watch Video
About Mdogomdogo
More DIAMOND PLATNUMZ Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl