Nyakati Lyrics
Nyakati Lyrics by CATRINA
Kama ni upendo kipimwa
Hakuna kipimo kitachofaa
Kutoa jibu na kiwango
Cha upendo unaonipenda
Nimetafakari
Yale tunatenda
Huruma yako
Vile unatupenda
Umekuwa mwema mpaka nashindwa
Namna ya kuelezea
Rehema neema unazotupa
Bado tunazichezea
Unatuvuta nao nao nao
Unatukumbatia
Tukikosea una huruma
Dhambi unatufutia
Si mwingine ni wewe
Weweee
Si mwingine ni wewe
Weweee
We praise you Lord
Litukuzwe jina lako mchana usiku
We praise you Lord
Nyakati zote
We praise you Lord
Litukuzwe jina lako mchana usiku
We praise you Lord
Nyakati zote
Katika nuru angavu ya machweo
Ninatabasamu na furaha wa moyo
Umetandaza wingu angani
Mvua ya wema inatunyeshea
Wema wako ni mkuu nashindwa namna
Umekuwa mwema mpaka nashindwa
Namna ya kuelezea
Rehema neema unazotupa
Bado tunazichezea
Unatuvuta nao nao nao
Unatukumbatia
Tukikosea una huruma
Dhambi unatufutia
Si mwingine ni wewe
Weweee
Si mwingine ni wewe
Weweee
We praise you Lord
Litukuzwe jina lako mchana usiku
We praise you Lord
Nyakati zote
We praise you Lord
Litukuzwe jina lako mchana usiku
We praise you Lord
Nyakati zote
We praise you Lord
Litukuzwe jina lako mchana usiku
We praise you Lord
Nyakati zote
We praise you Lord
Litukuzwe jina lako mchana usiku
We praise you Lord
Nyakati zote
Watch Video
About Nyakati
More CATRINA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl