Mtaro Lyrics
Mtaro Lyrics by BOONDOCKS GANG
Mtaro lyrics - Boondocks gang(Exray), G- Rock music, Gwaash, Shagwah(34GVNG)
Niko mashada naanza za kalulu
Sidai msupa bna atanitext na katulu
Na pia usilete ngeus poko toka mulu
Ni heri wa ZImerman nitamshika kwa mkunyu'
Nyongi nyongi pyenga ya kigongi
Nadai nadai doggy doggy akibweka ita mbogi
Msupa Odi odi ebu fungua kikonji
Msupa si ni river whiskey uwachie kichoki
Mbleina ka ni chichi namshikia kipochi
Walkie talkie niko rada ya kiwatchi
Kiherehere kama supu ya malenge
Hakuna vile vajo anaweza kosa nyege
First of all nimeland na kibeng'a
Ah leo mtaro ndo ajenda
Nimemcheki pale tao amejibeba
Chunga hiyo mtaro waah itakumeza
Kila day aah, anajileta
Anashinda kwangu na ana chali huko Thika
Huku hivi na Exray washatuua(Utaniua)
Leta mali nijichome tu kifua
Ni kuchimba kuchimba mtaro
Ni kuchimba kuchimba mtaro
Ni kuchimba kuchimba mtaro
Apige nduru kwa mat hadi kwao
Ni kuchimba kuchimba mtaro
Ni kuchimba kuchimba mtaro
Ni kuchimba kuchimba mtaro
Apige nduru kwa mat hadi kwao
Tangu matako naskia unasakwa
Hii ngoma ikidrop watamaka
Hii ni genje, hii ni fire hii ni mbwaya
Nilipatch buda boss, usijali mi ni riet
Usijali mi ni fiet, nikikuchai jo ni mess
Nimemada nimekalas, nimetake na hii beat
Nime-nime-nimetake na hii beat
Mjulubeng anaitwa transformer
Ju ilimbao alafu ikakuwa chuma
Na already ako wet ye ni chura
Toka Umo si wanaipiga bila huruma
Mtaro biggy lakini ye ni kijiti
Alihata Cat ndio akuje apewe miti
Tangu matako bado chief ananisaka
Na ka ni pets mi hucheza na paka
Ni kuchimba kuchimba mtaro
Ni kuchimba kuchimba mtaro
Ni kuchimba kuchimba mtaro
Apige nduru kwa mat hadi kwao
Ni kuchimba kuchimba mtaro
Ni kuchimba kuchimba mtaro
Ni kuchimba kuchimba mtaro
Apige nduru kwa mat hadi kwao
Hizo paja zinaleta tafash ah
Cheki venye mbus amejibeba aah
Leta hiyo ikus nitameza ah
Nitazama ndani kama pweza ah
Alafu ka ni fisi mi ni mbweha
Wat a ting badman kiring ding
Ka ni kigongi big ting
Niko handas jabling
Seti kibeng masling
Chapa chafua shingo mambling
Ka ni mali safi piga tu sampling
She a gogo, call her popo(popo)
Hana kasafi rangi safi si Congo(Congo)
Ana whine si anakaa kupenda Bongo(Bongo)
Sema chonjo kula ndani hadi moro
Ni kuchimba kuchimba mtaro
Ni kuchimba kuchimba mtaro
Ni kuchimba kuchimba mtaro
Apige nduru kwa mat hadi kwao
Ni kuchimba kuchimba mtaro
Ni kuchimba kuchimba mtaro
Ni kuchimba kuchimba mtaro
Apige nduru kwa mat hadi kwao
Watch Video
About Mtaro
More BOONDOCKS GANG Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl