Fimbo ya Nyayo Lyrics
Fimbo ya Nyayo Lyrics by BOONDOCKS GANG
Zima bulb maddam kuna magoe
Masheito za nginyo usinizoee
Unamwaga utam ka ni roee
Mi ndio choko chongati sitaki story
Sssh sha sha sha sha
Sssh sha sha sha sha
Fimbo ya Nyayo
Fimbo ya Nyayo
Tuna fimbo ya Nyayo
Mothogoto mriadano
Ni kumingle kwa baro
Hapa njoti ni mpakano
Tuna fimbo ya Nyayo
Mothogoto mriadano
Ni kumingle kwa baro
Hapa njoti ni mpakano
Wale wa camera leo mbao mbao
Napiga randa nacheki umembao
Rangi ya guiness ama ikuwe ythao
Una kirungu nitabless na ki mmmmh
Shasha money manyaru zime mmmh
Paka rangi juu ya kirungu si uta mmmh
Hapa koro pyenga zote ni ma mmmh
Ka unataka pakisha na ma mmmh
Obongo bongo siwezi kula ong'ong'o
Anaskiza bongo na mi ni bongo lala
Kujia akala nikutese kama Tala
Ex wangu wote bana hushi huko Tala
Siwezi mwaga unga mi nakula mokoro
Kutoro nilianzia huko keroro
Kudoro mokoro nilifanya matoro
Mashoro masilver ama udunge magoro
Nifollow tunapenda masolo
Chupa we ni chura labda we ni msoro
Odi ita Roro tuwake mpaka moro
Mangale na makolo nikule ka umedoro
Kuroria kama zoro
Sssh sha sha sha sha
Sssh sha sha sha sha
Fimbo ya Nyayo
Fimbo ya Nyayo
Tuna fimbo ya Nyayo
Mothogoto mriadano
Ni kumingle kwa baro
Hapa njoti ni mpakano
Tuna fimbo ya Nyayo
Mothogoto mriadano
Ni kumingle kwa baro
Hapa njoti ni mpakano
...
Watch Video
About Fimbo ya Nyayo
More BOONDOCKS GANG Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl