BOBO NYOSTO Kula Rasa cover image

Kula Rasa Lyrics

Kula Rasa Lyrics by BOBO NYOSTO


Ka ni noma itembee, Genge safi mabazee
Dem fiti uletee twende nae kwa zabee
Kutingisha digidee si ndio wale wazee
Kula rasa izoee kutetema kama train
Kula rasa skizia, skizia
Kula rasa skizia, skizia
Kula rasa skizia, skizia
Kula rasa skizia, skizia

Bula bula bako Coco Master nimedunga tu kijake
Niko maji utadhani buda mi ni bake
Ka we ni sura mbaya cheki ong'ong'o cheki gaske
Steam ni ya stima hanaga jokes za Kibaki

Huku ndani kuna form shika hizi ticke
Kabla uzame zima kwanza stima kwa hiyo socket
Kadem kalifungua duka yaani kana market
Chorea gush nono fupi round kama bake
Kakiseti thigidha thobotha rusha rocke
Kama Zzero hadi ya majani nina pake
Hizi mbichwa zigizogo nimesund poke

Bula bulaba Coco Master kwenye kaske
Mapokoloko kidodido nina chake
Chake bake kaske baske
Itike socke make, ey socket bula bulaba

Ka ni noma itembee, Genge safi mabazee
Dem fiti uletee twende nae kwa zabee
Kutingisha digidee si ndio wale wazee
Kula rasa izoee kutetema kama train
Kula rasa skizia, skizia
Kula rasa skizia, skizia
Kula rasa skizia, skizia
Kula rasa skizia, skizia

Nina madudu niko high alafu pongi ndo nadai
Ka ni fudhi paka dye piga tire afurahi
Chapa shasha ujinyc, mi hupenda vitu tight
Ka ni momo mi sidai, ka ni nono mi si fun
Na kadudu akidai chapa kitu hadi night
Na kadudu akidai chapa kitu hadi night

Ka ni noma itembee, Genge safi mabazee
Dem fiti uletee twende nae kwa zabee
Kutingisha digidee si ndio wale wazee
Kula rasa izoee kutetema kama train
Kula rasa skizia, skizia
Kula rasa skizia, skizia
Kula rasa skizia, skizia
Kula rasa skizia, skizia

Nimevutiwa simu na makodi wa Pumwani
Napenda gondo kishothol kitu karibu chwani
Kiutani si huwafaa ni ka kalifani
Ni nani mi nakutani niingize ndani

Kuthesha na kuthobotha kithobo thobo
Juduba mi napenda kuiskizia ikiwa ndani
Na duba daily daily zinafanya inasimama
Kugonga na kuthoba mi nafanya na Yolani

Form ni kuteki, form ni kusesa
Form nikutoke before niomoke
Ninakudanda unakuwaga na madanda
Design unanimada ni lazima nitazikwata
Kwata pata mbwata maskini kuzipata 
Matako kulia mbwata kwata thuthe piga mbata
Seti hiyo mtaro niswim kama bata
Kata rasa paka ngata

Ka ni noma itembee, Genge safi mabazee
Dem fiti uletee twende nae kwa zabee
Kutingisha digidee si ndio wale wazee
Kula rasa izoee kutetema kama train
Kula rasa skizia, skizia
Kula rasa skizia, skizia
Kula rasa skizia, skizia
Kula rasa skizia, skizia

Wacha kuchachisha we simamia
Nowadays madem hula pia
Kipro Scarlet we pandilia
Kakifunga tundu si utazamia
Ati hataki jegi anataka kuzamia
Mi mi dollar girl ndo pedi wa Maria
Wasapereng ndo mi hukazia
Ju wao hula rasa wakakosa kusikizia
Kula rasa skizia, skizia(Skizia)
Kula rasa skizia, skizia(Skizia)

Ka ni noma itembee, Genge safi mabazee
Dem fiti uletee twende nae kwa zabee
Kutingisha digidee si ndio wale wazee
Kula rasa izoee kutetema kama train
Kula rasa skizia, skizia
Kula rasa skizia, skizia
Kula rasa skizia, skizia
Kula rasa skizia, skizia

Watch Video

About Kula Rasa

Album : Kula Rasa (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Bobo Nyosto Entertainment.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Mar 08 , 2020

More BOBO NYOSTO Lyrics

BOBO NYOSTO
BOBO NYOSTO
BBI
BOBO NYOSTO

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl