BILLNASS Funga Geti cover image

Funga Geti Lyrics

Funga Geti Lyrics by BILLNASS


Naskia joto joto joto

Naskia joto unavyokesha
Mwisho saa sita ooh(saa sita)
Nishapitia msoto
Mpaka nimefika oooh
Touch, take five now

Waambie mtaa wa pili
Wafunge geti(funga geti)
Tunapita majangili
Wafunga geti (funga geti)

Waambie mtaa wa pili
Wafunge geti (funga geti)
Tunapita majangili
Wafunga geti (funga geti)

Mnaojiita wakali, kiukali mnapimwa vipi
Nataka sigara kali mifukoni una viberiti
Mtaani waya kali, viwaya nitavuta vipi

D-d-d-dadako ananiita continenti
Kwenye nchi za kutosha
Maiti wanakosa coffin eeh
Kama buchi lililo choka

Aah nazioana chuki tu na sio upinzani
Ukitaka kujua burudani,
Muulize dem wako anajua navaa boxer gani
Bado mna chuki kwani?
Na mwaka huu mtavaa chupi vichwani

Pakua mangoma bila start duble duble
Nashangaa mzozwa nani?
Kusema nenga kivuruge
Nimekuwa baba now
Nimekuwa baba lao
Siku hizi nachukiwa mpaka waganga wao
Nimekuwa stori kwao
Zaidi zaidi yao
Kunichukia kwaiva pressure tu  miili yao

Wanalenga ni kama nenga(nafanya miracle)
Waambie wanaopinga, wazidi overdose

Wanalenga ni kama nenga
Waambie wanao pinga
Wanalenga ni kama nenga
Waambie wanao pinga

Waambie mtaa wa pili
Wafunge geti(funga geti)
Tunapita majangili
Wafunga geti (funga geti)

Waambie mtaa wa pili
Wafunge geti (funga geti)
Tunapita majangili
Wafunga geti (funga geti)


Na roundi hii babako
Lazima tuheshimiane
Leo mhuni nimekutana na teke la Vandame
Mpira pass ndo siri ya ushindi
Na slide kwenye nyasi
Imechana mkeka wa mhindi

Si mliandaa mipango
Kaandaa migambo
Kaandaa mitambo na bado mkatoa matango
Sasa mtaandaa mapango, tandaa mabango
nasajili ng'ambo mtacheza chini ya kiwango

Na bado tuta hesabu diary
Na dose ndo hii nawapa(kwa stress)
Tutasonga ugali of course kwa maji ya bata
Na nitawahanyari wauza  papa
Walinitupa kwa bahari
Nifilie mbali na narudi na samaki nawapa

Si mlikuwa mnakula bati
Me nakula kigae
Nyi watoto wa mto wa kati
Ndo napita mjiandae
Eti unaniombea mauti
Si bora usalie kunuti
Mnavunja nazi my foot
Bado hamnikuti

Wanaroma ni kama Roma nafanya miracle
Waambie wanaochoma wasiji overdose
Wanaroma ni kama Roma(hee hee)
Waambie wanaochoma(hee hee)
Mbomba ni kama Roma(hee hee)
Waambie wanaochoma


Waambie mtaa wa pili
Wafunge geti(funga geti)
Tunapita majangili
Wafunga geti (funga geti)

Waambie mtaa wa pili
Wafunge geti (funga geti)
Tunapita majangili
Wafunga geti (funga geti)

Moto moto...

Naskia joto unavyokesha
Mwisho saa sita ooh(saa sita)
Nishapitia msoto
Mpaka nimefika oooh
Joe, take five now

 

Watch Video

About Funga Geti

Album : Funga Geti (Album)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Mar 06 , 2019

More BILLNASS Lyrics

BILLNASS
BILLNASS
BILLNASS
BILLNASS

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl