Why ( English Translation)

BEN POL Feat HARMONIZE

English translation


Ndugu zangu napata malipo ya usaliti (my brothers am getting betrayal)
Yakupendwa lakini nikawa sipendeki (of being loved but am not lovable)
Sikujua machungu makali kiasi hiki (I didn't know love hurts to this extent)
Hii dozi inatibu vilivyo me sitaki (this dose treats better but I dont want)

Whoaaa amenifanya nawaza(making me stressed)
Wangapi niliowatema (how many I left)
Kila nikikumbuka najiona mshamba ( When I remember, I see myself a fool)
Nguvu zinaniisha siwezi hata kusimama (am out of strength, can't even stand)
Kinacho nisikitisha nastahili hayaa ( what makes me sad, I deserve this)
Nguvu zinaniisha siwezi hata kusimama (am out of strength, can't even stand)
Kinacho nisikitisha nastahili hayaa ( what makes me sad, I deserve this)

Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh

Silali silali silali (fofofoo) (I don't sleep well)
Silali silali silali (fofofoo) (I don't sleep well)

mbona hayaniishi mawazo (aaaaaah)(Why am I still stressed)
Nyingi zinajirudia (aaaaah) (remembering so many things)
Penzi lake ndo chanzo (aaaaaah) (her love is the genesis of this )
Mmmmh Malipo ni duniani (karma in the world )

Ahela kuhesabiwaa ( hell is being counted)
Me nipo bado rehanii  (am still existing)
Nimejitela mwana mkiwaa eeh  ( am an ophan)
Mmmh Zile heshima kuninyenyekea (with all the respect she gave me )
Nikamwona si chochote kwangu (Hahaa)( I saw her like nothing to me)

Eti mazima nikampotezea  ( I lost all her dignity)
Nilivyo maliza tu shida zangu ( when all my problems were gone)
(Hahaaa)
Ukimuona mwambieni najiuguza najutia (when you see her, tell her am regretting)
Tena najiona limbukeni ( I see myself as a savage)
Yamenifunza ya dunia (the world has taught me a lot)

Yale machozi yasiyo na hatia (all the worthless tears)
Yana nisubulubuu  ( making me crucify myself)
Manjonzi upweke najiinamia ( sorrow, loneliness and nighmares)
Nishatubu nisameehe (I ask for forgivesness)

Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh

Silali silali silali (fofofoo) (I don't sleep well)
Silali silali silali (fofofoo) (I don't sleep well)

mbona hayaniishi mawazo (aaaaaah)(Why am I still stressed)
Penzi lake ndo chanzo (aaaaaah)  (her love is the genesis of this)

 

More lyrics by BEN POL

Original Lyrics


Ndugu zangu napata malipo ya usariti
Yakupendwa lakini nikawa sipendeki
Sikujua machungu makali kiasi hiki
Hii dozi inatibu vilivyi me sitaki
Whoaaa amenifanya nawaza

Wangapi niliowatenda
Kila nikikumbuka najiona mshamba
Nguvu zinaniisha siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha nastahili hayaa

Nguvu zinaniisha
Siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha
Nastahili hayaa
Nguvu zinaniisha
Siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha
Nastahili hayaa

Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Silali silali silali (fofofoo)
Silali silali silali (fofofoo)

Ona hayaniishi mawazo (aaaaaah)
Nyingi zinajirudia (aaaaah)
Penzi lake ndo chanzo (aaaaaah)

Mmmmh Malipo ni duniani
Ahela kuhesabiwaa
Me nipo bado lehanii
Nimejitela mwana mkiwaa eeh
Mmmh Zile heshima kuninyenyekea
Nikamwona si chochote kwangu (Hahaa)
Eti mazima nikampotezea
Nilivyo maliza tu shida zangu  (Hahaaa)
Ukimuona mwambieni najiuguza najutia
Tena najiona limbukeni
Yamenifunza ya dunia

Yale machozi yasiyo na hatia
Yana nisubulubuu machozii (Mmmmh)
Upweke najiinamia
Nishatubu nisameehe


Why why why why why oooh
Najiuliza kwa nini
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Aaah mwenzenu silali
Silali (eeh) silali (eeh) silali (fofofoo)
Silali (eeh)silali (eeh) silali (fofofoo)


Ona hayaniishi mawazo (heheeeh)
Penzi lake ndo chanzo(aaaaaah)
Mmmh
haaaaaah…

Nguvu zinaniisha
Siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha
Nastahili hayaa

Sheddy Clever on the beat

More lyrics by BEN POL

BEN POL (5 lyrics)

Benard Michael Paul Mnyang'anga aka Ben Pol is an award-winning singer and songwriter mainly prolific with R&B tunes that have always graced the top tables of Tanzanian radio charts. His last production, “Sophia”, a major hit in 2015, reached the highest...

Leave a Comment