Ukinigusa Lyrics
Ukinigusa Lyrics by B CLASSIC 006
Unajua mechi mama sio kidogo
Zama Insta mpaka huko inbobo
Umenimotivate umenipa michongo
Mpaka nikifika kwenu mi ndo kigogo
Kitandani we kinana
Nikikupiga hadi akili zinahama
Inama nigusanishe
Chanya na hasi kwa wahuni nikufikishe
Kana urembo wa tausi
Black beauty niko duty
Na penzi lake mi sisusi
Kanavyo koki koki za njanduki
Ukinigusa mama nadondoka
Nadondoka
Ukinigusa mama nadondoka
Nadondoka
Ukinigusa mama nadondoka
Nadondoka
Ukinigusa mama nadondoka
Nadondoka
[Gigy Money]
Oooh baby unavyoizungusha kama toyo
Yaani mimi naloose control
Control, control
Oooh yaani najiona kama doro
Baby nabaki kama koro
Koro aah, koroga
Mi dondo dondo dondokea
Katikati nakukatikia
Gigy money miuno mi nakumwagia
Utake nini kwako baby mi nishatulia
Yaani nipe nipe nyaka nyaka
Nataka tena tena nikupe papa
I go teach you like that
Yaani I go give you like that
I go give you like that o
Nataka nikupe taa o
Mi ukinigusa mimi
Nadondoka (Kama kiroba wee)
Baby ukinigusa mimi
Nadondoka (Kama mzoga baba)
Baba ukinigusa mwenzio
Nadondoka (Najikokota wee)
Baby ukinigusa mimi
Nadondoka (Nakatakata wee)
Kana urembo wa tausi
Black beauty niko duty
Na penzi lake mi sisusi
Kanavyo koki koki za njanduki
Ukinigusa mama nadondoka
Nadondoka
Ukinigusa mama nadondoka
Nadondoka
Ukinigusa mama nadondoka
Nadondoka
Ukinigusa mama nadondoka
Nadondoka
Nadondoka, nadondoka
Nadondoka, nadondoka
Watch Video
About Ukinigusa
More B CLASSIC 006 Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl