Natamba Lyrics
Natamba Lyrics by ASLAY
Natamba, Natamba Aaa
Kilicho nishawishi upole wako
Na heshima yako
Wazazi wangu wamekusifia sana
Kwa tabia yako
Sura yako ya upole, inanivutia
Shepu Twiga mwenda pole, najivunia
Oh tupeane mapenzi iwachome (Eeee)
Nakama namba waisome (Eeee)
Hata tukigombana wasione (Eeee)
Washike jembe wakalime (Eeee)
Mapenzi mazuri
Wakutane wawili wanaopendana
Usizidishe washauri
Watasababisha tuje kugombana
Aaaaae! angalia shepu
Aaaaae! Ka-Wema Sepetu
Aaaaae! Angalia jicho
Aaaaae! Hamissa Mobetto
Aaaaae! Karangi kake
Aaaaae! Elizabeth Michael
Aaaaae! Yani we mrembo
Aaaaae! Walahi nachukua jiko
We ndio wangu wa milele
Nauza dagaa
Ili ninunue motorcar nikuridhishe
Unanipa furaha
Na nguvu ya kusaka chapaa nisikuangushe
Unanyota ya Adam na Hawa(Ohooo)
Tunavyopendana
Hata wakituchukia ni sawa (Ohooo)
Tuaminie Mama
Wanaona umenipa dawa (Ohooo)
Wanaongea sana
Chunga usije kuota mbawa (Ohooo)
Ukaniachaga kilema
Katabiri pweza penzi litafika mbali
Nacheka kiingereza
Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali
Mh Jamani
Katabiri pweza penzi litafika mbali
Kwakweli hamtoweza
Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali
Basi baby nikumbatie mama
Aaaaae! angalia shepu
Aaaaae! Ka-Wema Sepetu
Aaaaae! Angalia jicho
Aaaaae! Hamissa Mobetto
Aaaaae! Karangi kake
Aaaaae! Elizabeth Michael
Aaaaae! Yani we mrembo
Aaaaae! Walahi nachukua jiko
We ndio wangu wa milele
Watch Video
About Natamba
More ASLAY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl