Kiloki(Boom Shakalla) Lyrics
Kiloki(Boom Shakalla) Lyrics by VENRICK
Uwachome na kingoto, Maddox aah
Harrycraze, Venrick aah
34 Gang, DJ Lytaa
(Jessy on this)
Aii vuta ngwai, vile una mbiro
Unapenda tu matoki, vile una shiro
Nare na kitire nitawasha tu kiloki
Una shy hapa nitakupiga shoti
Aaah! Nimekunoki aah
Cheki nitakupiga tu kigoti
Aii vile unachachisha tu kwa moti
Vile unachachisha si nitakupiga tu kipoki
Aaah! Nimekunoki aah
Cheki nitakupiga tu kigoti
Aii vile unachachisha tu kwa moti
Vile unachachisha si nitakupiga tu kipoki
Bang bang nitaku Rambo Kanambo
Hii ni moto utaisikilia kwa tumbo
Boy wako nitamkula makumbo
Ngeus wenzako watafumbua hili fumbo
Mi I pull up nikisikia ilikam
Lakini siwezi kam na bado kunajam
Mogoka ama jaba bora ikam na kagum
Na nikishika manze nipe Jamaican ram
Nitakupiga randa, nikupige shada
Na mawada zimekam zimeriev
Vile zimenyanya niko fiti
Bondi na kishot na kimisi
Kova ako area anawapea ma beating
Nimekula tu vijiti za Ngomongo
Miti zimenice hebu uliza tu Odongo
Na mapom pom na matom pom, aii aii gethukia tobo
Boom shakala utaisikilia kwa tumbo
Ngeus wako watafumbua hili fumbo
Boom shakala utaisikilia kwa tumbo
Ngeus wenzako watafumbua hili fumbo
Boom shakala(Boom), ala
Boom shakala(Boom), ala
Boom shakala(Boom), ala
Fumbo, fumbua
Aaah! Nimekunoki aah
Cheki nitakupiga tu kigoti
Aii vile unachachisha tu kwa moti
Vile unachachisha si nitakupiga tu kipoki
Aaah! Nimekunoki aah
Cheki nitakupiga tu kigoti
Aii vile unachachisha tu kwa moti
Vile unachachisha si nitakupiga tu kipoki
(Si unajua tu ni nani)
Looku nimepiga imeweza
Naskia kupiga picha nichafue meza
Si nimewajibika kwa hiyo sekta
Nicheze na Vera Sidika
Sitaki kina Lilian wanachafua jina
Kila place nikipita Craza we are sorry
Kuwakunywa tu manze hii ni ngori
Na kama Gabu, mi staki mastory
Boom shakala utaisikilia kwa tumbo
Ngeus wako watafumbua hili fumbo
Boom shakala utaisikilia kwa tumbo
Ngeus wenzako watafumbua hili fumbo
Boom shakala(Boom), ala
Boom shakala(Boom), ala
Boom shakala(Boom), ala
Fumbo, fumbua
Aaah! Nimekunoki aah
Cheki nitakupiga tu kigoti
Aii vile unachachisha tu kwa moti
Vile unachachisha si nitakupiga tu kipoki
Aaah! Nimekunoki aah
Cheki nitakupiga tu kigoti
Aii vile unachachisha tu kwa moti
Vile unachachisha si nitakupiga tu kipoki
Ngeus ako fine, ni peng ting
Nataka akuwe mine, akuwe mi next thing
Sura tabia ni mwoga kwa njia
Akipita mtaa jo mafisi zinalia
Mahater wanachachisha
Wanadai huyu ni dem wa mashisha
Tukiwakilisha wanachunhgulia dirisha
Boom shakala utaisikilia kwa tumbo
Ngeus wako watafumbua hili fumbo
Boom shakala utaisikilia kwa tumbo
Ngeus wenzako watafumbua hili fumbo
Boom shakala(Boom), ala
Boom shakala(Boom), ala
Boom shakala(Boom), ala
Fumbo, fumbua
Aaah! Nimekunoki aah
Cheki nitakupiga tu kigoti
Aii vile unachachisha tu kwa moti
Vile unachachisha si nitakupiga tu kipoki
Aaah! Nimekunoki aah
Cheki nitakupiga tu kigoti
Aii vile unachachisha tu kwa moti
Vile unachachisha si nitakupiga tu kipoki
Watch Video
About Kiloki(Boom Shakalla)
More VENRICK Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl