Asante Lyrics by KING KAKA


Just know sahii am getting cheese kama panya ya pili
Almost died, so alive kama track ya dillie
Pigia akina arrow uwanlize nimewaput on vipi
Home na album ya nyash, khali na octo on repeat
Ata nigekuwa blinded I still score
Ata nikienda narudi kama nyunda ya thor
Na ata ka biz ni hasara mi sibaki
Bado na shine ka kihara ya kibati
Ajuza I was a chooser so sitaki
Born winner so nyuma mi sibaki
Wacha wabange words ziko na zero weight
Plate is full nab ado niko na njoa ya 08
Sahii bank iko na 1 na zero 8
Meeting na Sylvia ni 10 ni nafika 8
Na wife anaingiza 6 figures na figure 8
Ata bila hook bado mmtashika bait
Bonga hundo thao, mimi ni humble boller
We unatutisha na mita
Ile hundo thao nimesema I’m in dollars
Nina manyongo ka lupita
Can’t walk in my shoes
Can’t fit in my soul
Huyo rafiki nilimchorea kwani nini namshow
Niliwootea ndoto nyi wote eeh
Ni makossa
Plus I though the money would bring us closer
I was alone kwa bed bila cellular
Even though death was calling
Trust kuna nuts zilimove kwa hii medula
Whispers kwa pena hapo nyuma ya God
Nikaambiwa niwe na positive mind na tests ni negative
Surrounded by close friends na relatives
Noteochiwa kudishi kama mtoi mchanga
Wewe ushawai kuwa na nightmares mchana
Lost kgs ka sijui nini
Nilikuwa nimekonda
Hakuna mlango kilo ikuwa imegonga
O G kando trust me machozi zilitrickle
Life inakuchallange kiu tik tok
Jua ukienda ndio watakupenda
Ile saying ya you don’t know what you have
Hajui marafiki watakutenda
You don’t know who you love
Called my kids from hospital bed nikaskia njeve
Iroma hajui what’s going on anafanya nicheke
Dokte akikam mi come to terms
Feezy back to school me come two terms
Nikarushwa kwa maji ka Jonah
Baptism by fire
Prescription ya kupona
Kwa ring na sheito
God kwa my corner
Slowly fading away kwa mache ungai sama
Puke damu straight from my stomach
Nights were cold, the days were longer
Unawish tu time inaweza songa
Sray showing niko na cavity kwa my 2 lungs bado
Walinipa 30 days nishie
That’s was 12 months ago

Niukweli uhai ni kama maji
Yakimwogika hayazoleki
Lakini mungu noye ni noni
Mipongo yake lazima ikamilike
Ni ukweli uhai nikama maji
Yakimwogika hayazoleki
Lakini mungu noye ni noni
Mipongo yake lazima ikamilike

Mungu, asante mungu
Mungu, asante mungu
Mungu, asante mungu
Mungu, asante mungu
Mungu, asante mungu
Mungu, asante mungu

Watch Video

About Asante

Album : Asante (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Nov 22 , 2022

More KING KAKA Lyrics

KING KAKA
KING KAKA
KING KAKA
KING KAKA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl