MR BLUE Kibao Kata cover image

Kibao Kata Lyrics

Kibao Kata Lyrics by MR BLUE


And this is for the ladies right now
The keys to the ladies
(DaXo Chali)

Picha la kutisha mali fullback
Hili party shisha hautii mguu fake
Watoto new age, A to Z
Kidume first class babe ni first lady

Utamu wa best bite nahisi kama kudedi
Mtoto yuko ready nje na kwenye bedi
Ona amenipa punje nataka plate
Nami niko race macho yamekula shedi

Ukirusha maverse ni slim au Shady
Ujuzi na weledi, mbuzi hauelewi
Makuza haung'olewi
Mkuu sinogewi

Speed highway moja moja oneway
Nyama nyama lazima iliwe
Kitanda hakilali chenyewe kilaliwe
Chaguliwa nguo na baadae zivuliwe
Zikaguliwe zitumiwe alafu zikafuliwe

Raha za Mombasa, ulinzi mambo sasa
Mapishi ya kisasa, Mbishi nimenasa
Mi si leo nakukiss nakupapasa
Raha uje Tabata uone bars zinavyojaza
Bata, bars tamu haswa
Ukikamatwa Boko haram haswaa 

Haya sasa jirani nakuasa
Ukiharibu ndani ni vitasa
Mbwembwe Fally Ipupa, Congo Kinshasa
Uno bila mfupa, RayC Ufaransa

Mr KandaBongoman, Mr Kwasakwasa
Sorry hunnie nipe kimoja cha fasta fasta
"Toa shaka we kaka una haraka"
Uh nipe baadae sindio

Moyo unakwenda mbio, muda unakwenda mbio
Katingisha kalio, nazidisha salio
Izungushe kama unazungusha migandio
Nivuruge unachosema mi niseme ndio
Kivuruge wakisema nizibe masikio

Movie mbani la ka-snake ma
Ilete juu kama inavyopigwa jack ma
Moshi juu inaitwa party la ki Gangsta
Party la Fiesta, Party la kukesha
Hii ni hatari kama party la madancer
Ndani wakali kama party la ki West Side
Mr Dj weka tunataka zile zinazochezeka
Usiku huu mpaka kinaeleweka

Kibao, kibao, kibao kata
Kibao, kibao, kibao kata
Kibao hichi kibao cha kukata
Ukiweka uso tu bao linakunasa

Kibao, kibao, kibao kata
Kibao, kibao, kibao kata
Kibao hichi kibao cha kukata
Ukiweka uso tu bao linakunasa

Kibao kata fulani babe zimejaa jaa
Kajipange cheki mfuko ulivyokaa kaa
Kama umefua utasuguaga ma gaga
Ukiwa poa utasugua masamaki mapapa

Be the girl who you finna get never
Don't you ever try to be acting no clever
When you see me I be sweet like pepper
Boy and nothing dem hotter

Man dem me a man dem killer
Inna di rapgame me a rap game pillar
And no other girl who a keep it realer
That's why me I say me de real don dada yeah

I'm coming to rule, I'm stealing the show
Am badder than you, you already know
A friend or a fool I ain't non of those
But the way my flow sick you gon want the dose

Kibao, kibao, kibao kata
Kibao, kibao, kibao kata
Kibao hichi kibao cha kukata
Ukiweka uso tu bao linakunasa

Kibao, kibao, kibao kata
Kibao, kibao, kibao kata
Kibao hichi kibao cha kukata
Ukiweka uso tu bao linakunasa

Watch Video

About Kibao Kata

Album : Kibao Kata (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 25 , 2020

More MR BLUE Lyrics

MR BLUE
MR BLUE
MR BLUE
MR BLUE

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl