Mautundu Lyrics
Mautundu Lyrics by MR BLUE
(Fraga got the recipe)
Ukianza mautundu tu mi nawasha sigara
Cheza kizungu kwa nyimbo ka masihara
Twende chini au vungu juu kama tiara
Utachezea rungu usicheze na mzee kipara
Mtoto mashallah hauna papara
Mwanaume zake Juma Nature hakuna kulala
Kijike na kidume tu hakuna mafala
Mwizi atapigwa kimya kimya hakuna mikwara
Twende maabara tugende ifakara
Tukachonge bara bara tulonge lugha zetu
Kisiwani na za bara
Yakhe salaam aleikum hewala
Nakusalimia hata kama ukiniona fala
Piga double double Mbezi na kimara
Waache wale chabo mi nakula mshahara
Socks kwenye cargo kasongo utawala
Kubwa au ndogo ipi iongoze msafara
Weka mautundu mi niloose control
Waite wazungu tukalishe mabishoo
Baby slow whine get some more
Nionyeshe show, nikuonyeshe flow
Ah shubi, shubi, shubiru bidu too
Shubiru bidu too yeah
Ah shori shori I love you
Sherry I kiss you yeah
Leo asife mende mboga mboga chuma mchicha
Au lambe peremende si ulisema we ni ticha
Girlfriend mi ni dende njoo tupige picha
Nnje kuna kaswende mchuchunge tu ficha
Mtoto kijibwa mtamu kama icecream
Unanipa tiba na usiku ni nice dream
Kama ni kula weeda nalipuka high steam
Kama kichwa kimepinda najikuta wazimu
We mtoto bwana wa moto sana
Toto una laana mtoto mnyama
Hii ni ndoto ama mbona joto sana
Ndo maana mikoko inaongozana
We mama tulipotoka ni chocho sana
Usiniletee michosho ukishakula kopo nyama
Leo tunakokotana tunaongozana
Hakuna kuogopana kwanini tulitongozana?
Weka mautundu mi niloose control
Waite wazungu tukalishe mabishoo
Baby slow whine get some more
Nionyeshe show, nikuonyeshe flow
Ah shubi, shubi, shubiru bidu too
Shubiru bidu too yeah
Ah shori shori I love you
Sherry I kiss you yeah
Ah shubi, shubi, shubiru bidu too
Shubiru bidu too yeah
Ah shori shori I love you
Sherry I kiss you yeah
Watch Video
About Mautundu
More MR BLUE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl