Mungu Unanipenda Lyrics
Mungu Unanipenda Lyrics by MR BLUE
Baba shida zetu unazijua, unatujua
Baba tulitaka mwanga, umeleta jua
Baba yetu nakunjua, mabaraka tunadua
Kwenye ukame we ndo mvua
Baba mi ni wako hata ukinichukua
Baba wowowowo
Baba nakutegemea
Dunia inanielemea
Ila nakuaminia
Baba wowowowo
Baba kanisaidia
Kwenye shida na raha
Kwenye dhiki na karaha
Baba utaniokoa
Hata dunia ikinitenga, Mungu unanipenda
Mungu unanipenda, na wengine unawapenda
Hata dunia ikinitenga, Baba unanipenda
Baba unanipenda, na wengine unawapenda
Mimi mja wako mwenye huo uhai wako
Kwanini niringe kwako baba
Niko kwenye dunia yako nakula matunda yako
Hizi zote mali yako baba
Binadamu hawanipendi, ila Mungu ananipenda
Wachawi mko wengi, ila Mungu ni mmoja
Baba wowowowo
Baba nakutegemea
Dunia inanielemea
Ila nakuaminia
Baba wowowowo
Baba utaniokoa
Kwenye shida na raha
Kwenye dhiki na karaha
Baba utaniokoa
Hata dunia ikinitenga, Mungu unanipenda
Mungu unanipenda, na wengine unawapenda
Hata dunia ikinitenga, Baba unanipenda
Baba unanipenda, na wengine unawapenda
Baba yangu unanipenda
Kweli baba unanipenda
Unanipenda yeah baba
Unanipenda, unanipenda
Baba unanipenda, unanipenda
Hata dunia ikinitenga, Mungu unanipenda
Mungu unanipenda, na wengine unawapenda
Hata dunia ikinitenga, Baba unanipenda
Baba unanipenda, na wengine unawapenda
Watch Video
About Mungu Unanipenda
More MR BLUE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl