Hachiti Lyrics
Hachiti Lyrics by MABANTU
Haa jiite danga bosi kibopa
Ukipita unamwaga pesa mbele (Baby wangu hachiti)
Leta vanga mdundiko mchiriku
Kwa mganga hata ukichanja ndele (Baby wangu hachiti)
Naitwa Vunja bei na maduka Sinza
Na mengeine yako mikoani (Baby wangu hachiti)
Kale katunda na mwenzake Whozu
Ntawafukuza nikuweke dukani (Baby wangu hachiti)
Unapenda vyuma utajinyea bwana mdogo
Baby wangu mimi hapendi bouncer (Baby wangu hachiti)
Unataka chipsi yai rojorojo
Au unapenda za kukauka (Baby wangu hachiti)
Ananipenda sana (Baby wangu hachiti)
Mi najua anakuchuna tu (Baby wangu hachiti)
Eti umemtoa out (Baby wangu hachiti)
Hapa baadae atarudi tu (Baby wangu hachiti)
Hachiti (Baby wangu hachiti)
Hachiti (Baby wangu hachiti)
Ananipenda sana (Baby wangu hachiti)
Mi najua anakuchuna tu (Baby wangu hachiti)
Eti umemtoa out (Baby wangu hachiti)
Hapa baadae atarudi tu (Baby wangu hachiti)
Aya dada weka kigodoro
Bana tumbo halafu weka koepe kama jini (Baby wangu hachiti)
Eti nitampa ndogo pia nitampa kubwa
Baby wangu hata umwambie nini (Baby wangu hachiti)
Ana umbo namba nane shepu kichuguu
Na kifuani saa sita (Baby wangu hachiti)
Ita ma photographer wakupige picha
Uposti baby wangu wadate na filter (Baby wangu hachiti)
Eti mpatie mbata na karanga mbichi
Au unajikuta kungwi wewe (Baby wangu hachiti)
Huh ananipenda sana (Baby wangu hachiti)
Mi najua anakuchora tu (Baby wangu hachiti)
Eti kakutoa out eeh (Baby wangu hachiti)
Hapa baadae atarudi tu (Baby wangu hachiti)
Hachiti (Baby wangu hachiti)
Hachiti (Baby wangu hachiti)
Ananipenda sana (Baby wangu hachiti)
Mi najua anakuchuna tu (Baby wangu hachiti)
Eti umemtoa out (Baby wangu hachiti)
Hapa baadae atarudi tu (Baby wangu hachiti)
Watch Video
About Hachiti
More lyrics from No Stress (EP) album
More MABANTU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl