Nyonge Lyrics
Nyonge Lyrics by KING KAKA
Nyonge, nyonge
Nyonge, nyonge
Chunga wivu isikunyonge
Niko penthouse na mapengting
Ukuta ni texture na mapainting
Mi ndio nadaiana na hao madeni na
Noti tu tupu no mapeni
Tuliskia stori zako unaishi Buru
Chelewa kidogo utapiga nduru
Si umei na si unaishi SQ
Na si juzi tu ulisota waka kurescue
Wacha wivu iwanyonge design ya saida
Unanitusi na umekalia cyber
Mi sijidu kuna wale hunidu
You should see my point of view
Nyonge, chunga wivu isikunyonge
Nyonge, chunga wivu isikunyonge
Nyonge, chunga wivu isikunyonge
Nyonge, chunga wivu isikunyonge
Unajifanya hunioni kwani we Sho Madjozi
Hii ni blood sweat tears machozi
Kuna watu wakirauka daily ni king
Talk is cheap na bado hawana anything
Sidishi kwako silali kwako
Suprisingly hauna kwako
Ni manbo ya God tu na nia
Bado itawanyonga mara mia
Mtaiskia kwa mara pia
Udaku tu ati mara skia
Hapa sio kwako so sidemand key
Kama ni kunyongwa labda iwe monkey
Nyonge, chunga wivu isikunyonge
Nyonge, chunga wivu isikunyonge
Nyonge, chunga wivu isikunyonge
Nyonge, chunga wivu isikunyonge
Watch Video
About Nyonge
More lyrics from Happy Hour (EP) album
More KING KAKA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl