Ndae Lyrics
Ndae Lyrics by KING KAKA
Hicho kiraka asikazie mrembo
Nina mandovu leo pewa tembo
Na mtura take away ni ya ten bob
Turn up leo basi leggo
Imagine hakuna mimba hutiwa na salamu
Sembe ya jana inachongwa ka sanamu
Ai kumbe success ni tamu
Sit back relax uenjoy filamu
Na mbosho imejaa kama taxin ya gokish
Au expe niko inje kismokish
Sina ubaya najiset ka sofa
Naingia club ni ka niko kwa posta
Na si twende ukanipee
Niko na maganji ni kama ni holiday
Twende ukanipee
Uko pande gani ya city na usidelay
Basi jisunde kwa ndae, jisunde kwa ndae
Kwa ndae, jisunde kwa ndae
Basi jisunde kwa ndae, jisunde kwa ndae
Kwa ndae, jisunde kwa ndae
Nakam ki otero and I mean no harm na
Watiaji kwa rende yangu hamna
Kris inadi ka unasiz ficha
Kris moradi oh ma six figures
Utadhani kwa Noah tuko two by two
Vidole chini ngepa tu kwa juu
Kuwashika design ya superglue
Mistari nyingi mi natupa tu
Basi dance ni kama ni compe flani
Najulikana uliza oh msee flani
Na nitakuwasha nikadoz tu mtaani
Rusha namba kwa TM ndani
Na si twende ukanipee
Niko na maganji ni kama ni holiday
Twende ukanipee
Uko pande gani ya city na usidelay
Basi jisunde kwa ndae, jisunde kwa ndae
Kwa ndae, jisunde kwa ndae
Basi jisunde kwa ndae, jisunde kwa ndae
Kwa ndae, jisunde kwa ndae
Holiday, holiday
Usidelay, usidelay
Holiday, holiday
Usidelay, usidelay
Na si twende ukanipee
Niko na maganji ni kama ni holiday
Twende ukanipee
Uko pande gani ya city na usidelay
Basi jisunde kwa ndae, jisunde kwa ndae
Kwa ndae, jisunde kwa ndae
Basi jisunde kwa ndae, jisunde kwa ndae
Kwa ndae, jisunde kwa ndae
Watch Video
About Ndae
More lyrics from Happy Hour (EP) album
More KING KAKA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl