Harmonize dedicates 'Sorry' to his daughter Zuu after staying so long away from her. In t...

Sorry Lyrics by HARMONIZE


Mi ni mwanadamu sijakamilika
Hadi siku ya mwisho wataponizika
Usisahau Zuu hana kosa malaika
Fanya unisamehe

Busara zako na upole kadhalika
Ni wazi haviwezi vikavunjika
Najua hayazoleki yakimwagika
Fanya unisamehe

Namaliza wiki
Nyumbani sifiki
Simu zako sishiki
Busy na marafiki

Mbona aki ni wazi ulinivumilia vipi
Tena vyenye dhamani kushinda shilingi
Ni wazi siwezi kupinga
Maana mi ni mwanadamu 
Na inatokea kuteleza

Ila ningeonekana mjinga
Ningeikana gramu
Naamini hata Mungu 
Singeweza kumpendeza

Am sorry sorry sorry sorry sorry, sorry
So lonely lonely lonely lonely, lonely
Am worried worried worried 
Worried for you

Sorry sorry sorry sorry sorry
Am worried worried worried 
Worry worry, I worry, I worry
I worry for you

Basi fanya unisamehe
Oh oh oh nisamehe
Oh oh oh nisemehe
Mi ni kosa lako

Tambua mi mwanadamu, nisamehe
Sijakamilika, nisamehe
Oh nisamehe, nisamehe
Mi ni kosa lako


About Sorry

Album : Sorry (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 Konde Music Worldwide
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 21 , 2021

More HARMONIZE Lyrics

HARMONIZE
HARMONIZE
HARMONIZE
HARMONIZE

Comments ( 0 )

No Comment yet

See alsoYou May also LikeGet Afrika Lyrics Mobile App

About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2021, We Tell Africa Group Sarl