Unaweza Lyrics by ABBAH


I never been to jail
But I have been to hell
And this is my story to tell
(Abbah)

Mbona unanipandisha pressure
Asubuhi asubuhi tu
Ugomvi nyumbani na mama  
Me I don't go to school

Sina viatu hawataki lishati kuu kuu
Mwalimu ananijoke ananicheka am looking like a fool
The reason am telling this ndio upate point of view
Maisha yalikuwaje jana kabla ya leo juu
Nobody cared about me, never cared what I do
And they telling you lies let me tell you the truth

Liwake jua inyeshe mvua upepo pepea
Haina kurudi nyuma mguu mbele tembea
Nani anayejua ya kesho muda ndo utaongea
Kushinda njaa sikati tamaa I'm on air

Amini kama unaweza
Things will work around if you believe
Amini kama unaweza
It's gonna be okay

Amini kama unaweza
Will work around if you believe
Amini kama unaweza
It's gonna be okay

Keep on, keep on, keep on fighting
Keep on, keep on, keep on striving
Keep on, keep on, keep on hustling

Ushapata picha ya ule mtu ulimwona Nyang'au 
Ndo huyu yuko on top now you wonder how
Alechelewa kufika wengi walimdharau
Na kumbe aliyewahi kuna vitu amesahau

Tuliwaomba nafasi na sisi tutoke
Wakasema twende wapi hatufiki popote
Wakaweka na kiwingu hewani tuogope
Fck you haters Mungu mkubwa pakeni matope

Njia niliyopitia jina inaitwa, msoto
Mazingira nilokulia changamoto
Mitaa nayo toka maisha yamepitia kushoto
Hakuna ndoto sio sehemu ya kulelea watoto

Na kama ningeenda mbio walizokwenda wengi
Ningeshikwa masikio mtaani plani zingechange
Ama hold a gun nikavamia benki
Everybody down put the money on the bag

Amini kama unaweza
Things will work around if you believe
Amini kama unaweza
It's gonna be okay

Amini kama unaweza
Will work around if you believe
Amini kama unaweza
It's gonna be okay

Keep on, keep on, keep on fighting
Keep on, keep on, keep on striving
Keep on, keep on, keep on hustling
Keep on, keep on

Keep on fighting
Keep on striving
Keep on hustling
It's gonna be okay, It's gonna be alright

Keep on, keep on, keep on fighting
Keep on, keep on, keep on striving
Keep on, keep on, keep on hustling
Keep on, keep on

It's gonna be okay

(The Mix Killer)

Watch Video

About Unaweza

Album : The Evolution (Album)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 Abbah Music.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Feb 26 , 2021

More lyrics from The Evolution album

More ABBAH Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl