
Usinikomoe Lyrics
Usinikomoe Lyrics by MAKA VOICE
Nimeshakuwa kipofu, kipofu jamani
Kama ukiniacha mi, usiniache njiani
Maumivu ya mapenzi, nitabembelezwa na nani
Furaha yangu ni wewe, ni wewe tu
Wala mapenzi sio kutwa
Kusema utaishia hapa
Wala mapenzi sio nukta
Nikakufanya we mwisho
Tena ukiamua kunicheat
Unaweza ukafanya kokote
Mwanamke hachungwi
Anajichunga mwenyewe
Aaah nakubembeleza
Ili tuwe sawa
Aaah nakubembeleza
Usiniache mwenyewe moyo utaumia
Usinikomoe nitaumia
Usinikomoe nitaumia
Usinikomoe nitaumia
Usinikomoe nitaumia
Rudisha rudisha
Kisha moyo wako
Rudisha rudisha
Mapenzi yako
Umenikaa kama nguo(Kama nguo ooh)
Tuwe Juliet na Romeo(Na Romeo ooh)
Tuwape mipaka marafiki
Tuwakatae kama radhi
Penzi usitie ukakasi
Na moyo ukapata ganzi
Tulishakula na kiapo
Kwamba milele nitakuwa wako daima
Niwe wako wakoooo
Natafuta mi kwa jasho
Ili changu kiwe chako daima
Uwe nacho wowoo, wowooo
Aaah nakubembeleza
Ili tuwe sawa
Aaah nakubembeleza
Usiniache mwenyewe moyo utaumia
Usinikomoe nitaumia
Usinikomoe nitaumia
Usinikomoe nitaumia
Usinikomoe nitaumia
Rudisha rudisha
Kisha moyo wako
Rudisha rudisha
Mapenzi yako
Watch Video
About Usinikomoe
More MAKA VOICE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl