MagodeChoke by ZZERO SUFURI Lyrics

Zzero Sufuri - MagodeChoke lyrics

Yah yah ni Zzero 
Kama sos mi ndio Sos 
Mi ndio boss
Mi ndio WorldBoss

Jeshi ni mbaya na watu wako mabodoski
Mbogi ni mbaya mbogi bado kimonyoski
Tamasha leo ni ile hamjaionaga hauskii
Ningekam jo yaani ukiona kina umathe

Si ni juu ya magode chock
Si ni juu ya magode chock
Si niko juu ya magode na bado ata sijadoz
Niko juu ya magode chock
Si mi huchoma gode chock
Si niko juu ya magode magode na bado chock

Siko juu ya magode chock
Si ni juu ya magode chock
Si niko juu ya magode na bado ata sijadoz
Niko juu ya magode chock
Si mi huchoma gode chock
Si niko juu ya magode magode na bado chock

Ati form form ni kama movie ya Dj Afro
Rrrr ni kwenye ima introduction
Sijalala mchana nimeshinda nikiwa macho
Magode mashada nimezishinda nikizimacho
Kwani iko nini nikikula kile niko nacho
Cheki vile nimenyanya hadi sai ziko kwa macho

Niko jaba ndani ya Umoiner
Jaba ndani ya Umoiner
Mi hukataka tu ma muratina
Chinjiaga dem ako na itina
Naiita inaniskiza eeh
Ikijipa bado nitaifinya

Cheki kwanza iko friday so kesho mi siendi job
Naenda nikunia kila mahali hakuna mahali sikojoi
Rada safi tukipatana form ni leo mi natoa
Ka ni ka jaba juu ya chock leo lazima sinitatoa

Siko juu ya magode chock
Si ni juu ya magode chock
Si niko juu ya magode na bado ata sijadoz
Niko juu ya magode chock
Si mi huchoma gode chock
Si niko juu ya magode magode na bado chock

Siko juu ya magode chock
Si ni juu ya magode chock
Si niko juu ya magode na bado ata sijadoz
Niko juu ya magode chock
Si mi huchoma gode chock
Si niko juu ya magode magode na bado chock

Always - nduru imepigwa ni ma wuwuwuuu
Moshi unacheki ni avuvuvu
Mangeus kwa tamasha ni wa nguvuvu
Kata na mapanga kisha susususu

Rada safisha chunga kuchachisha
Wakisha itisha macho ivisha moshi pitisha
Matisha bado lipisha nanga inamisha lalisha
Denge imeweza mtaani fikisha
Tarimbo rungu pigisha, mtaani ingisha
Thigitha bado na giza, ka inatatiza ririma
Gode ni mzima bado naichimba
Ikizima naiundia gova--

Si ni juu ya magode chock
Si ni juu ya magode chock
Si niko juu ya magode na bado ata sijadoz
Niko juu ya magode chock
Si mi huchoma gode chock
Si niko juu ya magode magode na bado chock

Siko juu ya magode chock
Si ni juu ya magode chock
Si niko juu ya magode na bado ata sijadoz
Niko juu ya magode chock
Si mi huchoma gode chock
Si niko juu ya magode magode na bado chock

Cheki ati shada panda ganja farmer
Kuyoyoma kusota kulala kudoz ka muoga
Kudoz ka haujaoga
Sasa ona blunder mistake ya kwanza
Kumess kwa kitanda
You mean kukojoa kitanda
Hiyo ni blunder

Chunga sana dear, kukunywa sana beer
Una mess na mind pia ka ni no fine beer
Kanono come here, ka ni bike ride dear
Ka ni maji kata beer, ka ni strungi stong pia
Na ukidai kuna kahawa 
Na ka haujashower we ni wa swara

Si ni juu ya magode chock
Si ni juu ya magode chock
Si niko juu ya magode na bado ata sijadoz
Niko juu ya magode chock
Si mi huchoma gode chock
Si niko juu ya magode magode na bado chock

Siko juu ya magode chock
Si ni juu ya magode chock
Si niko juu ya magode na bado ata sijadoz
Niko juu ya magode chock
Si mi huchoma gode chock
Si niko juu ya magode magode na bado chock

Yeah yeah cheki ni, 2020
Kwenye ki 4:20 
Nawasha moja mbili tatu 
Morio hadi 20 

Ni, 2020 kwenye ki 4:20 
Nawawashia leo mamorio 
Hadi nihakikishe wamebleki

Dagoretti namba 2 4W tuko

Music Video
About this Song
Album : MagodeChoke (Single),
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 RGM Empire.
Added By: Huntyr Kelx
Published: Jan 21,2020
More Lyrics By ZZERO SUFURI
Comments ( 0 )
No Comments
Leave a comment
Top Lyrics

You May also Like

Download Mobile App

© 2020, New Africa Media Sarl

Follow Afrika Lyrics