TZK (Tabia za Kibongo) Lyrics
TZK (Tabia za Kibongo) Lyrics by YOUNG DEE
Basi mpaka pamba anatokea
Kwenda kwa waganga ameshazoea
Nyumba za kupanga zimejaa umbea
Na ukishikwa unachambwa usije kuongea
Wengine kawa washamba ila ndo wana hela
Wengine kawa baba ila ndo masela
Wengine wanapanga wazamie kwa Mandela
Ila wengine wana mapanga lazima utoe hela
Utamkuta yuko bar hata kama mfukoni hana hela
Utakuta anasema sana hajui anacho ongea
Hizo tabia za kibongo
Hizo tabia za kibongo (Lala lalala)
Hizo tabia za kibongo
Hizo tabia za kibongo (Lala lalala)
Wakupendaga vitamu, hawana kitu
Ila vile wanavaa utasema Bongo bahati mbaya
Hii ni Daresalamu baby
Ati wana beef hadi za issue ndogo kama kutosalimiana
Hapo juu instagram kudiscuss stori za mastaa
Wana sehemu ya kukaa
Na wanashindaga maskani
Kudiscuss stori za wenzao bora hata ashinde njaa
Huku analia njaa kule wanalia njaa
Ila ikifika Ijumaa viwanja vyote vinanoga
Nikicheki walivyovaa machizi wanashine
Machizi wana Yeezy ambazo hata hazijatoka
Utamkuta yuko bar hata kama mfukoni hana hela
Utakuta anasema sana hajui anacho ongea
Hizo tabia za kibongo
Hizo tabia za kibongo (Lala lalala)
Hizo tabia za kibongo
Hizo tabia za kibongo (Lala lalala)
Heyoo, howeee
Shida nini kwako wee
Unaumiza wenzako tu
Hauelewi usawa huu
Hakuna apendaye taboo
Utamkuta yuko bar hata kama mfukoni hana hela
Utakuta anasema sana hajui anacho ongea
Hizo tabia za kibongo
Hizo tabia za kibongo (Lala lalala)
Hizo tabia za kibongo
Hizo tabia za kibongo (Lala lalala)
Karibu Bongo daresalama kwani we uko wapi?
Mabombo wanajua sana kila mtu ni mjanja
Mshamba yu wapi?
Watch Video
About TZK (Tabia za Kibongo)
More lyrics from Daresalama (EP) album
More YOUNG DEE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl